RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Watoto wanaongezeka jukwaani usishangae.Kuna mada za mizaha, mada kama hizi hazitaki mizaha. Kuna waty wakipita humu wanabeba na kujifunza vitu tofauti. Chumba self kwa 70m?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wanaongezeka jukwaani usishangae.Kuna mada za mizaha, mada kama hizi hazitaki mizaha. Kuna waty wakipita humu wanabeba na kujifunza vitu tofauti. Chumba self kwa 70m?
Yeah hio ndio sahihi. Kakae kwake. Ila usimdanganye mpange nyumba halafu mpange nyumba yako bila yeye kujua.Weee!! Mi nikiolewa naenda kuishi kwa mume hata km ana chumba kimoja, kwangu sifugi mtu.!!
Ila akinizingua nabeba bag langu narudi kwenye mansion yangu 🤣🤣🤣
Wajinga tu hawa. Humu kuna watoto wengi sanaHivi mmewahi kujenga au mnatishana tu?
Km ana pesa anapangishwa tu 🤣🤣Yeah hio ndio sahihi. Kakae kwake. Ila usimdanganye mpange nyumba halafu mpange nyumba yako bila yeye kujua.
Kwahio na wewe unakubali 70m ni chumba na choo?Acha kuongea vitu usivyovijua, kujenga ndiyo hobby yangu, kwasasa vifaa vimepanda bei maradufu.
Mafundi nao wameongeza michepuko, bei wanazosema siyo za nchi hii
He he he kweli miaka inasogea...wewe ni wa kumwambia mtu aachane na ki ATHLETE?Hizo hela za kununulia gari nunua kiwanja kizuri, hela za sheli na bia nunulia matofali acha ushamba wa starehe.
Wewe ni gaidi hushindwi.😅😅😅Km ana pesa anapangishwa tu 🤣🤣
Si tunaongeza pato la familia 😂😂Wewe ni gaidi hushindwi.😅😅😅
mpumbavu mmoja, kujenga sio hobby kujenga ni professinalism. Tafuta maana ya hobby. Halafu next time usinilitee upuuzi wa kuingiza hoja za mafundi kuongeza michepuko kwenye mada kama hizi. Wajinga ni wengi sana humu siku hizi. na wewe ni mpuuzi mwingine.Acha kuongea vitu usivyovijua, kujenga ndiyo hobby yangu, kwasasa vifaa vimepanda bei maradufu.
Mafundi nao wameongeza michepuko, bei wanazosema siyo za nchi hii
Kaslope😀Kweli mkuu, ila kujenga nyumba ya M5 haiwezekani?
🤣🤣ili mradi umeingia tu ndani hudaiwi kodi, hupangiwi zamuKaslope😀
dunia vituko haviishi😂😂😂😂nimecheka sana kumbe kujenga ishakuwa hobby 😂😂mpumbavu mmoja, kujenga sio hobby kujenga ni professinalism. Tafuta maana ya hobby. Halafu next time usinilitee upuuzi wa kuingiza hoja za mafundi kuongeza michepuko kwenye mada kama hizi. Wajinga ni wengi sana humu siku hizi. na wewe ni mpuuzi mwingine.
Humu ndani JF tuna wajinga sana basi tu , tulishazoea tangu zamani kupata mijadala na hoja makini humu.dunia vituko haviishi😂😂😂😂nimecheka sana kumbe kujenga ishakuwa hobby 😂😂
😁Ahsante, kujenga habari nyingine..!!
Nikiangalia nyumba yangu, nashindwa kufanya maamuzi ya kuolewa. Najua mjuba akinizingua jioni akirudi hanikuti, ntakuwa nisharudi home sweet home 🤣🤣
Bei ya kiwanja unataka ujengee😂😂Kweli mkuu, ila kujenga nyumba ya M5 haiwezekani?
Nimeanza kulipa ada bro 😂 lazma niwashauri vijana kwamba wasichukulie baridi baridi.He he he kweli miaka inasogea...wewe ni wa kumwambia mtu aachane na ki ATHLETE?
Na mafundi watataka watajirikie kwakoLabda choo...ila nyumba yoyote hata iwe chumba kimoja...kwa dar andaa kuanzia mil50
Kuna nyumba self contained huko Mbeya na Sumbawanga 30lmn na punguzo unapata.Bananeni hapo Dar mpambane na gharama...Hapa Mtwara nyumba kali imesimikwa mifumo kibao ina vyumba vitatu jamaa katoa kwa mil 55...Ambayo kwa hapo Dar kodi unaweza kuchukua mpaka 500k na zaidi tena ikiwa uswazi