Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

â– Cement imepanda bei
â– Metal sheet, nondo na chuma zimepanda
â– Mafundi wazuri bei zao zimechangamka
â– Viwanja ndio usiseme
â– Aluminium zimepanda bei
â– ETC

Msishangae sana hapa amepiga hesabu za
Kitanda na godoro million 3
Furniture millioni 10
Mara garden
Non essential things
Hayo siyo maisha ya mtu anaejitafuta
Muacha kifisha watu mioyo
Ukisimamisha kuta, ukaezeka mlango basi Hamia, halafu kodi ungekuwa unalipa kwa miaka mitatu hujamaliza kila kitu hapo, huku una Amani na Hakuna usumbufu na Bata unapiga
 
Kuna watu humu mnapenda sifa za kijinga jinga sn, kutisha sn wenzenu kuhs ujenzi

Chumba kimoja chenye choo ndani mpk kinakamilika hakizid mil. 5 cash, Apo ni kila kitu kuanzia boma,finishing,umeme Hadi mifumo yote ya maji Safi na maji taka.

Nikijenga Chumba na sebule chenye choo ndani uwa natumia mil 10, ata ikifeli haiwezi kuzidi laki 5 ya juu.

Nyie mnaotwambia habar za mil 50 chumba kimoja na sebule sijajua lengo lenu hasa Ni Nini humu jf.
 
Ahsante, kujenga habari nyingine..!!
Nikiangalia nyumba yangu, nashindwa kufanya maamuzi ya kuolewa. Najua mjuba akinizingua jioni akirudi hanikuti, ntakuwa nisharudi home sweet home 🤣🤣
Si unamtimua tu? Kwanza mwenye akili hawezi kukaa kwako. Anyway usiwazie sana material things ni vitu vya kupita.
 
Kuna watu humu mnapenda sifa za kijinga jinga sn, kutisha sn wenzenu kuhs ujenzi

Chumba kimoja chenye choo ndani mpk kinakamilika hakizid mil. 5 cash, Apo ni kila kitu kuanzia boma,finishing,umeme Hadi mifumo yote ya maji Safi na maji take.

Nikijenga Chumba na sebule chenye choo ndani uwa natumia mil 10, ata ikifeli haiwezi kuzidi laki 5 ya juu.

Nyie mnaotwambia habar za mil 50 chumba kimoja na sebule sijajua lengo lenu hasa Ni Nini humu jf.
Ukiwasikiliza watu humu hutafanya chochote.
 
Msijenge ili muendelee kuwa Watumwa wetu sisi Baba mijengo [emoji38]

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Back
Top Bottom