Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Kama kawa ma-don wa jf mnajadiliana kujenga nyumba za $25000+🤣acheni kutishia vijana wanaotaka kuanza maisha

Simple tu ingia kigamboni kuanzia mji mwema kwenda mbele au upande wa mbezi anzia mpiji magohe huko lipia kiwanja tafuta duka la hardware la karibu lipia vitu taratibu ukianza na 15M+ unatembea mwendo wa slow but sure
 
Jf wote madon ooh!! 🤣🤣
Ila wazingatie spaaaaaace
Mpiji zamani yalikuwa mashamba, ss hivi watu wanajenga..!! Ardhi ni asset nzuri sana.
 
We unazan consultancy tunatoa Bure?
Njoo Pm au ofisini utapewa mchanganuo na bei na Kila kitu.
wacha upumbavu mimi najenga Chumba kimoja na choo nije unfanyie consultant ofisini ya nini?
Halafu wewe jamaa ni liongo sana mara upo chuo mwalimu, mara kwenu mna kampuni mara Upigane na konda kisa 200, mara unasamamia biashara za demu wako mtoto wa kigogo mara demu wako malaya anajiuza puuu
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
 
Kama kawa ma-don wa jf mnajadiliana kujenga nyumba za $25000+[emoji1787]acheni kutishia vijana wanaotaka kuanza maisha

Simple tu ingia kigamboni kuanzia mji mwema kwenda mbele au upande wa mbezi anzia mpiji magohe huko lipia kiwanja tafuta duka la hardware la karibu lipia vitu taratibu ukianza na 15M+ unatembea mwendo wa slow but sure
Asante studio, viwanja vipo mpaka milioni tatu unapata inategemea ni wapi na ujenzi 30M unaweza kukamilisha nyumba kabisa

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Sipendagi Kitu Cha kawaida kinajadiliwa ktk namna ya kutisha unaweza Kuta wavu tu wa kawaida ukitajwa kwa kingereza unaweza hisi hii Kitu inauza 4million kumbe ni 35000
 
Back
Top Bottom