Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Asante, kiukweli ujenzi siyo poa kuna muda kidogo nisuse kuendelea na ujenzi ila ikawa kila nikihairisha baada ya mwezi vifaa vinapanda bei nikaamua nikomae nayo tu maana hamna nachokwepa zaidi ya kuja kufanya kwa gharama kubwa zaidi
 
Back
Top Bottom