Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Zamani ilikuwa laki 4 kipindi mzee ananunua mashamba uko, tulikuwa tunalima mahindi ujue..!!
Tena kulikuwa mapori watu walikuwa na mitambo ya kupika gongo uko.!! Kila mara polisi walikuwa wanawavamia wanawakamata…!!
Tuwekeze kwenye ardhi aiseee!!!
Kule hali ya hewa safi kama kwa madiba tu, utulivu mwingi.....pale barabara ikikamilika hapatashkika wala ardhi haitagusika kule
 
Mume ni unkwepable thing. Hiyo nyumba yako haikamiliki bila mume mzuri na watoto wazuri. Kakiingia kagiza unazagamuliwa unalala hoi.
Mkuu ulikuepo kipindi cha watumwa? Mbn una mentality za kizamani....mi naona mwanamke awe na kwake na mm niwe na kwangu tukutane for purpose Yale maisha ya kuhemeana kila siku yashapitwa na wakati
 
wacha upumbavu mimi najenga Chumba kimoja na choo nije unfanyie consultant ofisini ya nini?
Halafu wewe jamaa ni liongo sana mara upo chuo mwalimu, mara kwenu mna kampuni mara Upigane na konda kisa 200, mara unasamamia biashara za demu wako mtoto wa kigogo mara demu wako malaya anajiuza puuu
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
Mkuu JF watu wanabadilika kulingana na mada husika😃
 
Back
Top Bottom