Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Ahsante, kujenga habari nyingine..!!
Nikiangalia nyumba yangu, nashindwa kufanya maamuzi ya kuolewa. Najua mjuba akinizingua jioni akirudi hanikuti, ntakuwa nisharudi home sweet home 🤣🤣
Ndjo maana hatutakiwi kuoa mwanamke anayeishi nje ya wazazi wake ajili ya hii. Mnaona sasa
 
Ujenzi sio mgumu, sema bado hauna hela endelea kutafuta acha kelele..alafu acha uongo nyumba ya mil50 ni nyumba kabisa sio vyumba viwili acha kukatisha tamaa wenye nia ya kujenga.
 
wacha upumbavu mimi najenga Chumba kimoja na choo nije unfanyie consultant ofisini ya nini?
Halafu wewe jamaa ni liongo sana mara upo chuo mwalimu, mara kwenu mna kampuni mara Upigane na konda kisa 200, mara unasamamia biashara za demu wako mtoto wa kigogo mara demu wako malaya anajiuza puuu
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu
Apeleke upuuzi wake fb
 
Back
Top Bottom