Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Kwanza niweke wazi kuwa mimi nimelelewa na Mama tangu utoto wangu. Mama yangu amejitahidi kwa kila hali kunihudumia kwa kadiri ya uwezo wake hivyo naweza kusema nawapenda na kuwathamini wanawake kuliko wanaume.
Kukiwa na mgogoro wa Mwanamke na mwanaume most likely nitakuwa upande wa mwanamke na kama Mwanamke anaonewa naweza kuchukua hata maamuzi magumu.
Ninaye mke na dada yangu mmoja ambao wanafanana mambo yao. Hawa wawili wakijua au wakihisi huwapendi au unahatarisha maslahi yao hutabaki salama. Kama ni mfanyakazi utafukuzwa au utapewa msukosuko hadi utaacha kazi.
Ukiomba msaada kwao utaambulia matusi, kashfa na ukikaa vibaya kama uko karibu ni ngumi zinaanguka.
Wakichukia jambo huwezi kuwatuliza, wako tayari kila kitu kiharibike potelea mbali. Wakisikia adui yao kapata mabaya wanamtukuza Mungu.
Mathalani unaweza kuwa unaenda kukutana na mtu ambaye wao wameshamuwekea NO ukamwambia bwana ukifika pale usiongee mimi nitaongea anakukubalia. Ukifika pale kwenye kikao huyo mtu akawa haeleweki lazima wataingilia na kuharibu kikao chote. Wale waliokuwa wanamfuatilia Lucy Kibaki watanielewa.
Anyway yapo mengi naweza kuyasema ila all in all wawili hawa wakishakuwekea NO umeumia. Hutakuwa na jema ng'o mbele yao, wala hawatataka kusikia sijui muachie Mungu au nenda kaombewe. Mood yao haitabiriki hata kidogo. Mimi mwenyewe nishawazoea leo natukanwa baada ya masaa unasikia simu ooo kuna mtu amenikera nimeona nikupigie wewe ndio utanielewa na hata ukinikorofisha nitakutana na kesho tutaongea. Ha ha haaa.
Uzuri wote wawili wananipenda na nimekuwa kimbilio lao kila wanapokwazika. Kwa pamoja wana matatizo yanayofanana ambayo ndio msingi wa kushindwa kwao ku control mood zao.
1. Waliteswa na kubaguliwa na wazazi utotoni. Wamepigwa sana, kazi nyingi, uonevu n.k in short HAWAKUPENDWA
2. Wamekuwa dissapointed na Wazazi na ndugu zao. Pamoja na kuonewa na kuteswa utotoni Mungu aliwajalia maisha mazuri. Wakaamua kuzisaidia familia zao zitoke kwenye umasikini lakini hawakupata shukrani yoyote zaidi ya wana ndugu kuwa take for granted. Ndugu HAWAKUTHAMINI UPENDO.
3. Waliumizwa na waliowapenda mara nyingi wapnz, ndugu na marafiki
4. Walikuwa wakibebeshwa lawama kila jambo linapoharibika kwenye familia na watu wale wale waliowadissapoint
5. Wengi walioamua kuwapa msaada walikuja kuwasema vibaya baadae. HAWAKUWA NA SHUKRANI
Hali hii iliwa traumatize. Wakaona kila kitu hakina faida na kila mtu hana faida. Wakapata some sort of depression.
Sasa wamekuwa defensive balaa.
Nirudi kwenye mada. Hadi sasa mimi ni mwanachama wa CCM japo sio Frontline. Tangu Mh Magufuli afariki na Mbowe ashike hatamu za Chadema niliamua kupumzika active politics nikaingia kwenye harakati binafsi. Sikuwahi kujishughulisha na mambo ya Mama Samia.
Hivyo sikumjua sana japo wakati fulani niliishi kwenye nyumba ya mke wangu nikiwa sina hili wala lile. Mke wangu akawa anawashambulia wanaonicheka, nikawa namtania namwambia waambie mimi ni mfuasi wa Mzee Ameir Abeid kama sijakosea jina. Umekuwa utani wetu mpaka leo tunapomuona Mwanaume ambaye amezidiwa mafanikio na mkewe. Wafuasi wa Mzee Ameir. Huyu Mzee ni wa kupongezwa basi tu. Ameweza kulea na kuishi na mwanamke bila kuathiri mafanikio yake. Ni mada nyingine hiyo.
Baada ya hizi kelele za utekaji na kusikia kauli za Tundu Lissu na yaliyofuata baadae nilianza kufuatilia kwa karibu majibu ya Rais Mama Samia kwa kila hoja pinzani.
Uzuri na Mke wangu na Dada yangu nao wamekuwa wanafuatilia halafu usiku baada ya kazi tunaongea kwenye simu juu ya yanayoendelea. TCRA wanaweza kuona tunavyoongea muda mrefu na watu hao wawili maana niko nao mbali wote
Mara kadhaa wamekuwa wanasema "yaani huyu mama ana mood kama ya kwangu! Itakuwa anasema kabisa siwajibu ila anajikuta tu hasira zishampanda anajibu". Ni assumption. Ndio maana hata mimi nimesema nafikiri. Na mimi huwa nawajibu sipati picha wewe ndio ungekuwa Rais aisee sijui ingekuwaje?
Anyway, katika kumfuatilia kwangu Mama Samia sijawahi kusikia akitoa hadharani appreciation yake kwa Wazazi wake wala kwa Mzee wangu Ameir. Niko tayari kusahihishwa.
Wakati fulani nilimsikia akilalamika kidogo kuhusu media ya akina Suluhu huko Zanzibar kwamba haifanyi vizuri Sana pamoja na uwekezaji uliofanyika. Nisiingie sana huko nisije nikakosea. Nataka kuamini kuna dissapointment
Ninachotaka kuamini ni kuwa kwa umri wa Mama Samia, asili yake ya pwani mpaka kufika hapo alipo amevuka vikwazo vingi sana kuanzia kwa wazazi mpaka nyumbani kwake. Ni vigumu kukuta mwanamke wa pwani wa umri wake ana degree tu achana na uongozi.
Sasa basi hotuba yake kwenye ile mesi ya polisi wakati ule ilionyesha kuwa wapo watu ameshawapa NO kuwa HAWAMPENDI, WANAMDHARAU na Wanataka kumuharibia mazuri yake.
Ukisikia kauli za Lissu, Gwajima kwa mwanamke wa Bara tena kwenye jamii za Wafugaji anaweza kukuelewa sio Pwani. Ukali wao wa maneno kwa mwanamke wa pwani ni sawa na shambulio la hatari kwa nafsi yake na maslahi yake. Anaona kama amevamiwa na dude la kutisha.
Hivyo basi kwa Katiba yetu Rais ni kama Alfa na Omega na kila analoshauriwa Rais kuna neno lazima litangulie IKIKUPENDEZA.... na halazimiki kufuata ushauri wa mtu yoyote. Tuwe makini. Tusikose maarifa tusije tukaangamia.
Sitaki kuwa msemaji ila siamini kama Mama Samia anaweza kuiva chungu kimoja na Lissu hata siku moja. Huenda anamuona ni mtu tishio asiye na shukrani. Kila akimsikia mood yake inalipuka.