Nafikiri NIDA wanapaswa kuwajibika kwa uzembe na ndio pekee walipaswa kupewa ukomo wa muda sio wananchi

Nafikiri NIDA wanapaswa kuwajibika kwa uzembe na ndio pekee walipaswa kupewa ukomo wa muda sio wananchi

Mlipoambiwa "WACHA WAISOME NAMBA" mlidhani ni akina nani hao? Ni ninyi wenyewe Wananchi.
 
Acha ushamba wa kukariri vitu usivyovijua, beberu ni nani?
Bila beberu ungeweza kununua chanjo ya surua, pepopunda, kifaduro nk.
Bila huyo unayemuita beberu ungeweza kununua ARVs za kuhudumia angalau mkoa mmoja tu?
Unawajua washirika wa maendeleo?
Ushamba unakusumbua maana hujui hata unachosema
Wewe utakuwa wakala wa beberu na umetumwa kuchafua serikali yetu tukufu inayopiga kazi haijawahi kutokea si Tanzania wala dunia kote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakuwa wakala wa beberu na umetumwa kuchafua serikali yetu tukufu inayopiga kazi haijawahi kutokea si Tanzania wala dunia kote
Mabeberu ndy wanaokuja msaada wa madawa za ARV na wasikisitisha hku uraiani hakutokalika
Watu mtakuwa kama wadudu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
moudgulf,
Tatizo Ni huyo balozi aliye apishwa Jana aliwafukuza vijana wote waliofanikisha zoezi 2014 akaleta wakwake anajua yeye alikowatoa ndio hao vichwangumu
 
Acha ushamba wa kukariri vitu usivyovijua, beberu ni nani?
Bila beberu ungeweza kununua chanjo ya surua, pepopunda, kifaduro nk.
Bila huyo unayemuita beberu ungeweza kununua ARVs za kuhudumia angalau mkoa mmoja tu?
Unawajua washirika wa maendeleo?
Ushamba unakusumbua maana hujui hata unachosema

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Zezeta hilo litakusumbua akili bure achana nalo
 
Nasikia kuna mpango wa kupanga foleni tena katika usajili wa kanzi data ya DNA za wadanganyika wote,sijui itakuaje kama alama za vidole zimechukua miaka zaidi ya 3
 
gimmy's, Hili jambo kila mara tunalirudia humu mwenye kupata hii shida ni watu maskini wa vijijini ambao leo kufuatia hizo namba za NiDa ni garama kubwa sana kwao nauli maeneo mengi ni zaid ya 14000 kwenda na kurudi kufuata hiyo huduma na asiipate, inasikitisha saana

Kifupi ni mpango uliofeli huu.. sema unalazimishwa tu kuumiza watu maskini
Njia ilikua ni kuwafuata wanachi vijijini na kwenye kata zao zaid ya mara 2 sio kufuata mara 1 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabla ya kutupa lawama kwa upande wowote hebu tujiulize haya:
1.Kuna uhusiano gani wa kuregister simcards na kitambulisho cha taifa!?(kwanini isiwe kitambulisho na huduma nyingine!?)
2.Je umuhimu wa kitambulisho cha taifa ni kusajilia simcards tu!? (thamani ya kitambulisho ndio hii?)
3. Kwanini kuwe na deadline wakati hili zoezi ni ENDELEVU!? (Je tumechanganyikiwa? )

NINI KIFANYIKE!?
NIDA waongezewe uwezo, zoezi liwe endelevu bila deadline, elimu zaidi itolewe kwa mwananchi juu ya umuhimu wa kitambulisho cha taifa, kuwe na ulazima wa kuonyesha kitambulisho kabla ya kupata huduma mbalimbali za kiserikali kama vile dhamana, kuandikisha mtoto shule, hospital n.k, hili litawafanya watu waone umuhimu wa kitambulisho cha taifa bila kukimbizana na deadlines.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We lalamika ponda uwezavyo.... Kama mambo yameenda mraba subiria kuzimiwa simu

Sent using Samsung s10
 
We lalamika ponda uwezavyo.... Kama mambo yameenda mraba subiria kuzimiwa simu

Sent using Samsung s10
Sio tatizo ujinga wa anayeitwa mnyonge ni kura yake na ujanja wa huyu mnyonge ni kura yake,hata hivyo naamini watawaelewa walalamikaji
 
Magufuli kanoresha utendaji serikalini na kurudisha nidhamu ya kazi sasa unataka NIDA wapewe muda wa nini? Acha uzembe unataka wakufate home kwako?
We jamaa ni bonge la mjinga sana

Hv unajua ni kiasi gani wananchi wanavoteseka wanavohangaika kupanga foleni ofisi za NIDA ili angalau tu wapate namba ya kitambulisho wakasajili laini zao?

NIDA ni jibu, NIDA ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kanoresha utendaji serikalini na kurudisha nidhamu ya kazi sasa unataka NIDA wapewe muda wa nini? Acha uzembe unataka wakufate home kwako?
Kaboresha siyo kaboresha. Vuta pumzi
 
Kumbe kuna watu huwa mnaacha kazi zenu mnafatilia namba za NIDA
 
Doto Dotto,
Kwani wanaosifu na kuabudu utendaji wa Magufuli kuwa ameboresha na kurudisha nidhamu ya uchapaji kazi serikali ni akina nani?si hao hao wananchi,sasa wewe unatumia vigezo gani kwanza kuniita mjinga na second kuona kwamba wao wanapopanga foleni hapo NIDA ndo wanateseka?na si kwamba hiyo ndo starehe yao?
 
Back
Top Bottom