Nafikiri NIDA wanapaswa kuwajibika kwa uzembe na ndio pekee walipaswa kupewa ukomo wa muda sio wananchi

Mabeberu ndy wanaokuja msaada wa madawa za ARV na wasikisitisha hku uraiani hakutokalika
Watu mtakuwa kama wadudu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa siyo mtanzania,watanzania wazalendo wanajua Tanzania ni donor country so beberu akisitisha msaada na sisi tunasitisha misaada yetu kwa wale tuowapa then tunanunua dawa
 
Acha ushamba wa kukariri vitu usivyovijua, beberu ni nani?
Bila beberu ungeweza kununua chanjo ya surua, pepopunda, kifaduro nk.
Bila huyo unayemuita beberu ungeweza kununua ARVs za kuhudumia angalau mkoa mmoja tu?
Unawajua washirika wa maendeleo?
Ushamba unakusumbua maana hujui hata unachosema

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi ni donor country tunashindwaje kununua? hatujaamua
 
Mjinga mmoja wewe , yani nipange foleni since saa nane usiku nifatilie namba mwezi mzima then ufunge lain yangu kosa ni langu au la NIDA?
Katika watu 5 wapumbavu awakosekan na wewe ni mmoja wao

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtu asiye mjinga anawezaje kupanga foleni kuanzia saa nane usiku mpaka saa 9 alasiri then mtu huyo huyo akaenda kusifia kuwa nidhamu na utendaji kazi serikalini umeboreshwa,may be hapa Tanzania tu
 
Nilipata kadi ya kitambulisho toka NIDA miaka 7 baada ya kuomba. Niliomba walipoanza mwaka 2012 na nikapata 2019. Mara mbili hapo katikati ilibidi nianze upya kwani waliniambia maombi yangu yalipotea.

You cannot get milk out of a tree. Inabidi kuanza na ngombe, na sio mti, kama unataka maziwa. Hicho kitu kinachoitwa NIDA hakina viongozi wenye ubunifu wa kuweza kufanya kazi waliyopewa. Wameonewa kupewa jukumu hilo.

Tunayo mifano miwili ya kuonyesha it's all about leadership. Mfano wa kwanza ni huyu Mtukufu wa sasa. He has single handedly, and in only four years, turned around the performance of the state machinery. Amerekebisha, kwa namna ya ajabu, kutamalaki kwa vibaka mitaani, ukosefu wa maji, ukosefu wa umeme, na mengine makubwa ya miuondo mbinu, afya na elimu.

Mfano wa pili ni ukusanyaji wa kodi. Sisi wa zamani tunafahamu ilivyokuwa shida kubwa kulipia vitu kama leseni ya barabara. Lakini kuanzishwa kwa TRA yenye uongozi mzuri kumetatua matatizo ya kulipa kodi.

NIDA ni ya kuunda upya, chini ya viongozi wapya wenye ubunifu. The current crew are doing what they have always done and they are getting what they always got. It's broken, it can't be fixed, it needs replacement.
 
Mimi siwezi kupoteza muda wangu ambao ningeweza hata kuutumia kulala tu kwenda kufanya huo ujinga. Yaani NIDA alama zangu za vidole walichukua wakati wa zoezi la kutoa kitambulisho na wakanipa kitambulisho. Hizo alama wanazitaka za nini wakati ziko kwenye database ya NiDA? Waache ujinga wao . Alama za vidole wawaambie NIDA wawape.
 
Wewe utakuwa siyo mtanzania,watanzania wazalendo wanajua Tanzania ni donor country so beberu akisitisha msaada na sisi tunasitisha misaada yetu kwa wale tuowapa then tunanunua dawa
Nani kakuambia tz kna mzalendo??
Hivi unajua falsafa ya uzalendo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli kanoresha utendaji serikalini na kurudisha nidhamu ya kazi sasa unataka NIDA wapewe muda wa nini? Acha uzembe unataka wakufate home kwako?
Duuh,huu ulioandika ni upumbav sio ujinga!
 
Nilipata kadi ya kitambulisho toka NIDA miaka 7 baada ya kuomba. Niliomba walipoanza mwaka 2012 na nikapata 2019. Mara mbili hapo katikati ilibidi nianze upya kwani waliniambia maombi yangu yalipotea.

You cannot get milk out of a tree. Inabidi kuanza na ngombe, na sio mti, kama unataka maziwa. Hicho kitu kinachoitwa NIDA hakina viongozi wenye ubunifu wa kuweza kufanya kazi waliyopewa. Wameonewa kupewa jukumu hilo.

Tunayo mifano miwili ya kuonyesha it's all about leadership. Mfano wa kwanza ni huyu Mtukufu wa sasa. He has single handedly, and in only four years, turned around the performance of the state machinery. Amerekebisha, kwa namna ya ajabu, kutamalaki kwa vibaka mitaani, ukosefu wa maji, ukosefu wa umeme, na mengine makubwa ya miuondo mbinu, afya na elimu.

Mfano wa pili ni ukusanyaji wa kodi. Sisi wa zamani tunafahamu ilivyokuwa shida kubwa kulipia vitu kama leseni ya barabara. Lakini kuanzishwa kwa TRA yenye uongozi mzuri kumetatua matatizo ya kulipa kodi.

NIDA ni ya kuunda upya, chini ya viongozi wapya wenye ubunifu. The current crew are doing what they have always done and they are getting what they always got. It's broken, it can't be fixed, it needs replacement.
Hata sijaemewa
 
Back
Top Bottom