Nilipata kadi ya kitambulisho toka NIDA miaka 7 baada ya kuomba. Niliomba walipoanza mwaka 2012 na nikapata 2019. Mara mbili hapo katikati ilibidi nianze upya kwani waliniambia maombi yangu yalipotea.
You cannot get milk out of a tree. Inabidi kuanza na ngombe, na sio mti, kama unataka maziwa. Hicho kitu kinachoitwa NIDA hakina viongozi wenye ubunifu wa kuweza kufanya kazi waliyopewa. Wameonewa kupewa jukumu hilo.
Tunayo mifano miwili ya kuonyesha it's all about leadership. Mfano wa kwanza ni huyu Mtukufu wa sasa. He has single handedly, and in only four years, turned around the performance of the state machinery. Amerekebisha, kwa namna ya ajabu, kutamalaki kwa vibaka mitaani, ukosefu wa maji, ukosefu wa umeme, na mengine makubwa ya miuondo mbinu, afya na elimu.
Mfano wa pili ni ukusanyaji wa kodi. Sisi wa zamani tunafahamu ilivyokuwa shida kubwa kulipia vitu kama leseni ya barabara. Lakini kuanzishwa kwa TRA yenye uongozi mzuri kumetatua matatizo ya kulipa kodi.
NIDA ni ya kuunda upya, chini ya viongozi wapya wenye ubunifu. The current crew are doing what they have always done and they are getting what they always got. It's broken, it can't be fixed, it needs replacement.