Nafikiria adhabu za jela miaka 30 zipunguwe muda wake

Nafikiria adhabu za jela miaka 30 zipunguwe muda wake

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Mtu anafungwa jela miaka 30, sisi tunakatwa Kodi zetu kulisha watu wa namna hii Kwa muda wa miaka 30? Sitetei uhalifu ila inabidi tutafute namna nyingine, wastani wa mtu anayefungwa hiyo miaka 30 wa kuishi ni miaka walau 55 na anaelekea huko akiwa na miaka 25 Sasa hii Ina maana Gani? Ni lini Hawa watu watazalisha,?kama lengo ni kuwafundisha tabia njema ni lini watatoka Ili tuone jinsi wamebadilika?
 
Back
Top Bottom