Nafikiria kuachana na yule mpenzi wangu asiyeniomba hela

Nafikiria kuachana na yule mpenzi wangu asiyeniomba hela

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Juzi kati hapa nilileta uzi kuwa nimepata mtoto wa chuo na huu ni mwezi wa tatu hajaomba cha vocha wala hela yoyote.

Sasa kama mjuavyo vyuo vimefunguliwa wiki hii na hajapata chumba bado nikamshauri akae kwangu kwa sababu ni karibu na chuoni kwao.

So Jumatatu akahamia wakati tunashughulikia masuala ya hostel.

Nilimuacha nyumbani nikaenda kwenye mihangaiko yangu kurudi nyumbani nyumba imepekuliwa kuanzia uvunguni mpaka kwenye dari document zangu zote kasoma japo ziko salama .

Wiki mbili zilizopita alipekenyua laptop yangu picha nilizopiga na mademu zangu wa miaka nenda rudi nikamkuta anazicheki.

Nikienda choooni anakaa mlango wa choo sijui anasikilizia nini.

Nilimkuta ameshika simu yangu na kalamu na karatasi ananakili baadhi ya namba kumuuuliza anachekacheka
sasa huyu ni mpenzi au FBI.

Nafikiria kumuacha lakini its too late ananijua kuliko hata mama yangu mzazi maana hadi mikataba ya kazini kwangu juu ya mshahara na kila kitu ninachomiliki anakijua kupitia udukuzi wake.

Nishaurini jamani.
 
Juzi kati hapa nilileta uzi kuwa nimepata mtoto wa chuo na huu ni mwezi wa tatu hajaomba cha vocha wala hela yoyote
sasa kama mjuavyo vyuo vimefunguliwa wiki hii na hajapata chumba bado nikamshauri akae kwangu kwa sababu ni karibu na chuoni kwao
so jumatatu akahamia wakati tunashughulikia masuala ya hostel
nilimuacha nyumbani nikaenda kwenye mihangaiko yangu kurudi nyumbani nyumba imepekuliwa kuanzia uvunguni mpaka kwenye dari document zangu zote kasoma japo ziko salama
wiki mbili zilizopita alipekenyua laptop yangu picha nilizopiga na mademu zangu wa miaka nenda rudi nikamkuta anazicheki
nikienda choooni anakaa mlango wa choo sijui anasikilizia nini
nilimkuta ameshika simu yangu na kalamu na karatasi ananakili baadhi ya namba kumuuuliza anachekacheka
sasa huyu ni mpenzi au FBI
nafikiria kumuacha lakini its too late ananijua kuliko hata mama yangu mzazi maana hadi mikataba ya kazini kwangu juu ya mshahara na kila kitu ninachomiliki anakijua kupitia ufekenyuku wake
nishaurini jamani


Kiongozi, kichwa cha habari na maelezo ya ndani vinanitatiza! Unataka kumuacha kwa sababu hakuombi hela au unataka kumuacha kwa sababu ya UDUKUZI wake?
By the way, nafikiria jinsi ulivyomkaribisha huyo binti, naona kama something is missing kwenye huo uzi kuufanya uaminike.
 
Kiongozi, kichwa cha habari na maelezo ya ndani vinanitatiza! Unataka kumuacha kwa sababu hakuombi hela au unataka kumuacha kwa sababu ya UDUKUZI wake?
By the way, nafikiria jinsi ulivyomkaribisha huyo binti, naona kama something is missing kwenye huo uzi kuufanya uaminike.
sababu ya udukuzi wake wewe hujui wanafunzi wa udsm wanahahah sasa hivi vyumba hakuna wengine wanakaa mabwepande wakipata mtu wa kuwa host wanashukuru wakati wanahangaikia vyumba
 
teh teh the story is not real and the girl aint royal
 
Kama mzazi nikosoma hii kitu bado naumia pia;

Heri hata binti yangu amekosa mkopo atakuwa anakwenda chuo na kurudi kulala home, basi.

usiumie sana tunakula ujana hivo....,inawezekana mdukuzi ndo akawa mume wake hivyo....!!
 
Last edited by a moderator:
Kama mzazi nikosoma hii kitu bado naumia pia;

Heri hata binti yangu amekosa mkopo atakuwa anakwenda chuo na kurudi kulala home, basi.
mamdenyi wanafunzi wa higher learning wengi wameolewa bila kujijua maisha magumu sana ,nadhani umeshaona clip za video wanazojipiga huko hostel ,vyuo vingi ukiacha udom havina hostel za kutosha wanapanga gheto,na wayafanyayo ukiyaona utalia,mikopo hawana na wanataka simu ya galax s3 sasa sisi wadukuzi tunatake advantage
 
Back
Top Bottom