Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Kwi kwi kwi!anadate na Jasusi la kimarekani,atapekuliwa mpaka makato...Mwambie akasomee mambo ya upelelezii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwi kwi kwi!anadate na Jasusi la kimarekani,atapekuliwa mpaka makato...Mwambie akasomee mambo ya upelelezii
Kwi kwi kwi!anadate na Jasusi la kimarekani,atapekuliwa mpaka makato...
Juzi kati hapa nilileta uzi kuwa nimepata mtoto wa chuo na huu ni mwezi wa tatu hajaomba cha vocha wala hela yoyote.
sasa kama mjuavyo vyuo vimefunguliwa wiki hii na hajapata chumba bado nikamshauri akae kwangu kwa sababu ni karibu na chuoni kwao.
so jumatatu akahamia wakati tunashughulikia masuala ya hostel
nilimuacha nyumbani nikaenda kwenye mihangaiko yangu kurudi nyumbani nyumba imepekuliwa kuanzia uvunguni mpaka kwenye dari document zangu zote kasoma japo ziko salama .
wiki mbili zilizopita alipekenyua laptop yangu picha nilizopiga na mademu zangu wa miaka nenda rudi nikamkuta anazicheki.
nikienda choooni anakaa mlango wa choo sijui anasikilizia nini.
nilimkuta ameshika simu yangu na kalamu na karatasi ananakili baadhi ya namba kumuuuliza anachekacheka
sasa huyu ni mpenzi au FBI.
nafikiria kumuacha lakini its too late ananijua kuliko hata mama yangu mzazi maana hadi mikataba ya kazini kwangu juu ya mshahara na kila kitu ninachomiliki anakijua kupitia udukuzi wake
Nishaurini jamani
nimefuata ushauri wako simuachi tena ila nimegundua anataka kunijua zaidi na kama kweli nampendaSorry yo say this Bro lakini hata Kama ningekuwa Mimi I would definitely be FBI to you. First naona kama unpotezea muda Dada Wa watu, nisamehe kwa hilo . Kwa nini mpaka una keep pics za exes wako on the laptop? Wakati uko kwenye mahusiano Haya.mengine. Usikute huyo dada kafanya hivyo kutaka kujua kulikoni, either kwa kusikia story mtaani or through some changes in your relationship. Kwa Kweli Kama unaona huyu demu hutamuowa please achana nae Bado mapema kabla hujamuumiza zaidi hiyo baadae. ( honestly Mimi sipendi bwana wangu awe anaweka mapicha ya exes zake kama akiwa yuko na Mimi , sio vizuri inauma tena sana tuu) .
Mwingine kaa chini na mpenzio kabla hujamuacha na umuulize kwa nini alifanya vile .Baada ya hapo utafuata moyo wako. Asante.
Jiandae kulea mimba .nimefuata ushauri wako simuachi tena ila nimegundua anataka kunijua zaidi na kama kweli nampenda
UuJuzi kati hapa nilileta uzi kuwa nimepata mtoto wa chuo na huu ni mwezi wa tatu hajaomba cha vocha wala hela yoyote.
Sasa kama mjuavyo vyuo vimefunguliwa wiki hii na hajapata chumba bado nikamshauri akae kwangu kwa sababu ni karibu na chuoni kwao.
So Jumatatu akahamia wakati tunashughulikia masuala ya hostel.
Nilimuacha nyumbani nikaenda kwenye mihangaiko yangu kurudi nyumbani nyumba imepekuliwa kuanzia uvunguni mpaka kwenye dari document zangu zote kasoma japo ziko salama .
Wiki mbili zilizopita alipekenyua laptop yangu picha nilizopiga na mademu zangu wa miaka nenda rudi nikamkuta anazicheki.
Nikienda choooni anakaa mlango wa choo sijui anasikilizia nini.
Nilimkuta ameshika simu yangu na kalamu na karatasi ananakili baadhi ya namba kumuuuliza anachekacheka
sasa huyu ni mpenzi au FBI.
Nafikiria kumuacha lakini its too late ananijua kuliko hata mama yangu mzazi maana hadi mikataba ya kazini kwangu juu ya mshahara na kila kitu ninachomiliki anakijua kupitia udukuzi wake.
Nishaurini jamani.