Nafikiria kuachana na yule mpenzi wangu asiyeniomba hela

Kwa kuwa anakujua vizuri huyo ndio mwanamke mzuri wa kuishi nae,cha msingi usibadilishe namna ulivyokuwa unaishi,yeye kupekuwa na kujua mambo yako si sababu ya msingi ya kumuacha hapo cha kuangalia ni mapenzi ya kweli kama yapo.
 

umemkaribisha mwenyew.... kazi kwako pole lakin
 
Hahahaaaa!! Kicheko changu hakina maana mbaya, sasa basi kufanya ivo cdhani kama ana lengo baya ila ni kutaka kujiridhisha kama katua sehem sahihi, ingawa ustaarabu alioutumia co mzuri,
 
Kama mzazi nikisoma hii kitu bado naumia pia;

Heri hata binti yangu amekosa mkopo atakuwa anakwenda chuo na kurudi kulala home, basi.

mama pole sana,lakin kama umekosea msingi huna sababu ya kuumia,lakin kama umelea katika msingi usio mzuri hata hapo nyumbani atakuzidi ujanja tu.
 
Wakina Wema wanatafuta wataalamu wa kuandaa script wawalipe wewe unakuja kuweka huku jf just for free, what a waste!!
 

Oooooohhhhh! here you go again.
 

Sorry yo say this Bro lakini hata Kama ningekuwa Mimi I would definitely be FBI to you. First naona kama unpotezea muda Dada Wa watu, nisamehe kwa hilo . Kwa nini mpaka una keep pics za exes wako on the laptop? Wakati uko kwenye mahusiano Haya.mengine. Usikute huyo dada kafanya hivyo kutaka kujua kulikoni, either kwa kusikia story mtaani or through some changes in your relationship. Kwa Kweli Kama unaona huyu demu hutamuowa please achana nae Bado mapema kabla hujamuumiza zaidi hiyo baadae. ( honestly Mimi sipendi bwana wangu awe anaweka mapicha ya exes zake kama akiwa yuko na Mimi , sio vizuri inauma tena sana tuu) .
Mwingine kaa chini na mpenzio kabla hujamuacha na umuulize kwa nini alifanya vile .Baada ya hapo utafuata moyo wako. Asante.
 
She is an Introvert,kwa hivyo hawezi kuuliza bali anatumia njia zake kupata information zako anazozitaka.Myself iam that kind of a person,sema tu sipekui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…