Nafikiria kuachana na yule mpenzi wangu asiyeniomba hela

na nyie mnaficha sana mambo yenu hadi inabidi tutafte info wenyewe. nafikiri nia yake ni njema tu. kukufahamu zaidi.
 
wanawake wanajua sana kupekenyua asikwambie mtu lazima akafungue mabegi, makabati, na kila kitu unaweza kuta makorokolo mengine ulishayasahau jiandae kujibu maswali ! Lakini akishakuzoea hapekenyui tena usijali mkuu
 
Anafanya project/research.Kwa hiyo mvumilie kwani wewe ni "case study" wake.Ila anakupenda,niamini mkuu!
 
Endelea kumvumilia akishamaliza kusoma document zote atatulia tu.

Ila akikuibia tu leta uzi tukupe ushauri.
 

umeshasema n too late endelea nae
 
Acha uzinzi kabla haujakugharimu
 
nimefuata ushauri wako simuachi tena ila nimegundua anataka kunijua zaidi na kama kweli nampenda
 
ogopa sana mwanamke akiamua kukuchunguza..lazima ukweli ataujua tuu
 
Uu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…