Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Huyo Mke wako ambaye hujafunga naye ndoa alipenda Pesa yako ila hakukupenda wewe, jitahidi kupambana kwa ajili ya Mtoto wako.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ni ubakaji na ni kosa kisheria. Tukiwapeleka polisi mseme hatuna huruma wakati mmeyataka wenyewe!! Tatua kwanza huko kununa then mengine yanajipa tu mbona!
Ukiolewa hakuna kubakwa, yaani unaparamiwa na ukishtaki polisi wanakutimulia mbali, wana vingi vya ku solve na sio upuuzi. Eti nimebakwa na mume wangu khaaaa?! Kwanza utachekwa mno!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Nimeishia pale tu ulipo andika kua mke wako kakupeleka POLICE, sijaendelea kusoma tena Kwa sababu huyo siyo mke... Hilo ni gume gume tu la mjini na halifai, achana nalo, mke huvumilia yote na mume huvumilia yote.
"Mke huvumilia yote na mme huvumilia yote "

Una maana kwamba kwa sababu hata kupelekwa police ni tatizo nivumilie au ?
 
Dah!kuna watu makatili
 
Chukua uamuzi huo ila kwa ziada nashauri pita dawati la jinsia, baraza la kata na ustawi acha ujumbe wako
 
Hivi wanawake viburi jeuri n.a. madharau mnawajua halafu awe agongwa nje n.a. pia awe Mbaya sura, hana chura, hana miguu mnuka kinywa machoko wa design hii vumilia ukutane n.a. Jela. Tembea mwamba.
 
.....noted mkuu.
 
Huna mke hapo mkuu. Sio kumllipia chumba, piga chini kaanze maisha yako upya. Pale ambapo mwanamke anaacha kuwa upande wako katika hali ngumu kunakua na mambo mawili. Moja yupo upande wa mtu mwingine au haupo katika mipango yake ya muda mrefu. Pole sana mkuu
 
haya yooooote yange epukika kama usinge oa

kijana vijana msioe jifunzen kupika
 
Mimi kaka nakukumbusha tu. Toa zaka kila pesa unayopata mtetezi wako ni Mungu tu. Hiyo familia shetani anaitaka usiwe sbb ya kumpa ushindi. Toa zaka kamili hutoona mahangaiko na mitikisiko hiyo sbb adui umempa mpenyo. Mwenzio mvumilie umepata nafasi ya kujifunza alivyo. Sasa unanafasi ya kumbadili hakuna mkamilifu. Kazi utapata tu ukipata nafasi oa
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…