Nafikiria Kuifunga Biashara yangu

Nafikiria Kuifunga Biashara yangu

Ukimalizana na tra nenda Halmsahauri(Halmashauri ulipochukua leseni) pia ifunge leseni.....Japo Halmsahauri hawana nguvu kama tra coz tra ni country wise kaifunge tu hiyo leseni kama unayo.

Ikiwa utataka kurudi katika biashara hiyo, eneo hilo hilo ukataka kuifufua hiyo leseni lazima ukutane na deni.

NB: Mfumo wa Halmsahauri hauna nguvu sana......

Utaratibu ni kama ulivyofanya tra.
Na kama usipofunga leseni ukahama mkoa mazima ukaendelea na biashara nyingine mkoa mwingine inakuaje, ule mkoa uliohama wataendelea kukudai hadi lini au wataifunga tu iki-expire?
 
Kufunga biashara ni moja ya maamuzi ya busara......biashara haikupi faida ifunge usilazimishe kuonekana unafanya biashara fulani kumbe hupati kitu......maana ya biashara ni lazima kuwe na faida ndani yake.

Nilipofunga biashara ya duka la vifaa vya ujenzi leo hii naona nilifanya maamuzi sahihi na magumu pia maana wadau (wateja, marafiki, vibarua, mlinzi,tra walitaka niombe muda kidogo.....)walitaka niendelee.

Ushauri wangu kwako mkuu kama biashara haina faida IFUNGE usisubiri KUFILISIKA na MADENI juu.....

Karibu kwenye ufugaji.........
Ufugaji wa nini mkuu,hebu fafanua kidogo
 
Back
Top Bottom