Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Irons [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanini unataka kufunga biashara yako?
Teh tehIrons [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Andika sasahivi haina shida kikubwa usiwe na deniNipo sasa hivi nalipa Installment kama kawaida ,na kama nikitaka kuandika hiyo barua inatakiwa nisubiri mpaka mwaka uishe au naweza andika hata sasa hivi na wakalifanyia kazi?
Dah....janja janja....[emoji23] [emoji23]Irons [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ulichofanya wewe ndicho hicho hicho nilichofanya mimi mkuu, wafanyabiashara wenzangu wananiambia ni bora yangu mie niliefunga biasharaKufunga biashara ni moja ya maamuzi ya busara......biashara haikupi faida ifunge usilazimishe kuonekana unafanya biashara fulani kumbe hupati kitu......maana ya biashara ni lazima kuwe na faida ndani yake.
Nilipofunga biashara ya duka la vifaa vya ujenzi leo hii naona nilifanya maamuzi sahihi na magumu pia maana wadau (wateja, marafiki, vibarua, mlinzi,tra walitaka niombe muda kidogo.....)walitaka niendelee.
Ushauri wangu kwako mkuu kama biashara haina faida IFUNGE usisubiri KUFILISIKA na MADENI juu.....
Karibu kwenye ufugaji.........
metals [emoji23] [emoji23] [emoji23]Irons [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu ulifanya cha maana unaweza kukomaa ukafa na tai shingoni kuna mwana wameuza nyumba yake kisa madeni biashara anaendesha kwa hasara.....mtaji ukipungua anakopa ku boost situations.ulichofanya wewe ndicho hicho hicho nilichofanya mimi mkuu, wafanyabiashara wenzangu wananiambia ni bora yangu mie niliefunga biashara
u inaniniuma sana mkuu, hadi namkumbuka rais wa awamu ya nneMkuu ulifanya cha maana unaweza kukomaa ukafa na tai shingoni kuna mwana wameuza nyumba yake kisa madeni biashara anaendesha kwa hasara.....mtaji ukipungua anakopa ku boost situations.
Maisha lazima yaendelee ndugu hakuna namna yule bilionea aliyejipiga risasi mwaka jana baada ya shehena yake ya viroba kukamatwa biashara yake imeyumba zaidi, alimuacha mke wake,watoto.....roho yang
u inaniniuma sana mkuu, hadi namkumbuka rais wa awamu ya nne
Ukweli mchungu unaopoteza matumaini....hadi naogopaulichofanya wewe ndicho hicho hicho nilichofanya mimi mkuu, wafanyabiashara wenzangu wananiambia ni bora yangu mie niliefunga biashara