amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Changamoto zinatukomaza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara hii nzuri ila changamoto ndio kama hizi sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto zinatukomaza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Biashara hii nzuri ila changamoto ndio kama hizi sasa
Stashahada = diploma
Shadaha = degree
Astashahada = certificate
Kila la kheri.
Hahahahahaha dawa yao ni kuwaambia unaenda kukopea bank wataenda kuikomboa huko wenyeweMimi kuna Jamaa kanichia hati ya nyumba mwaka unaenda wa tatu sasa, kila nikimtafuta anabadili namba na nikimpata ni sound tu.
Sasa nimesikia amazenguana na Mke wametengana, natafuta mawasiliano na Mke nikimpata nawachonganisha, nawaambia atakayenipa changu nampa hati.