Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

Tupo town hapa lakini cha ajabu anaishi kama tupo Itilima, hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki.

Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja!

Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magumu

Ushauri wenu tafadhali.
Maelezo yako hayaeleweki vizuri ni kwamba kila siku mwanamke wako pesa unayomuachia ananunua kilo ya nyama? Umeanza kuishi naye lini? Kilo ya nyama ni elfu 10 umekuwa na uwezo huo wa kumuachia pesa zaidi hiyo kila siku?
 
Halafu utakuta mwamba anataka mwanamke mwenye matako kubwa halafu kuyahudumia hawezi......

Huo mwili wake haujengwi kwa kula viazi vitamu na mihogo ya kuchemsha...! Nyie ndio wake zenu wanakuja kugongwa kwa kununuliwa chips kuku tu au nyama choma kwenye foil
 
Nunua gunia la ndondo weka ndani,iwe deile kama lupango,Kwa miezi mitatu,asipobadili mentality kuhusu nyama nimekaa hapa.nyama hailimwi jamani,once a week tena isizidi nusu kilo.
 
Wanaojua Maisha na ugumu wa pesa wanaelewa na kama ni yupo tu hana kazi mtoa hapo arudi kwao kwanza huyo ni mchawi sio demu wa kawaida. Wenye matumbo makubwa utawajua tu.
 
Back
Top Bottom