Mchokozi Sana wewe....[emoji4]Mrejesho [emoji12]
agano jipya wapi imekatazwa mkuuWakristo tumefungwa na Agano Jipya , ila Agano la kale , mambo yalikuwa safi
😂😂😂😂Mchokozi Sana wewe....[emoji4]
Umefikiria nn kufukua hili kaburi?
[emoji848][emoji119][emoji134]mwaka na .....Bora wewe una wiki mwezi haujapewe, wengine tunachezea mwaka Sasa na miezi kisa mtoto!
Ndoa Ni nzuri Sana!
Yaani balaaaMkuu wake wawili bado una mchepuko tena[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
Asante 😃
Jitoe ufahamu mpotezee kabisa hata miezi sita usingaike nae
Mrejesho mkuu,
Mmeshayamaliza.??
Vipi sasa mkuu taabu bado iko pale pale au ndio ulishatafuta michepuko
Ulipata mchepuko? Au alikaa sawa?
Tupe mrejesho we jamaa
Mrejesho [emoji12]
Fanya hivyo usiombe tendon la ndoa kabisa hata miez miwili alafu uone reaction yake ikoje hapo ndo kipimoNilikuwa nafanya experiment hii [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516] ya kumpotezea
Mrejesho nauweka kwenye first post juu
Nimeweka mrejeshoFanya hivyo usiombe tendon la ndoa kabisa hata miez miwili alafu uone reaction yake ikoje hapo ndo kipimo
Upo vizuri Christine!
Finally usiku uliisha vizuri tu, akizingua tena , nitalala nje one night hadi aelewe somo.
Ila mimi kuchepuka sioni ni suluhisho.
Kumnyima mume k ni upumbavu