Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,225
- 5,258
Mwaka.... Niliwahi kummuuliza dokta baada ya mke wangu kujifungua kwamba tuingiliane baada ya mda gani.Bora wewe una wiki mwezi haujapewe, wengine tunachezea mwaka Sasa na miezi kisa mtoto!
Ndoa Ni nzuri Sana!
Dokta akanambia siku 45 tu tunaruhusiwa kuendelea kubanjuana.
Ila pia niliambiwa mwanamke akishazaa hamu ya kufanyana inapungua. Na madawa ya kuzuia mimba yanampunguzia ashki.