Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

Sio kweli mie Mr ananifikisha na naenjoy vizuri ila siwez kusex kila siku. Hua nahitaj muda kupata ile hamuuu atleast tuvushe siku au siku mbili while yeye anataka kila siku. Ni sex drive tu znatofautiana.
Yes

Wanawake wengi tuko hivo, mi mwenyewe napenda tukifanya leo, tusubirie mpaka at least week mbili ndo tunado

Ya kila siku inatia kichefuchefu
 
Hii pia ni kweli, vizawadi vinaleta stimu sana

Kingine sio kila siku kusex home tu, siku nyingine unafanya vacation, hotel at least hayachoshi

Women are full of suprises
 
Mm mwaka sasa mara ya mwisho mwaka jana aprill tuligombana ndo basi tena na mmnimemkaushia
 
Ukiambiwa heshimu ndoa yako mwanaume haimaanishi usipige mechi za nje, piga kwa uangalifu wife asijue.
Wanawake ni viumbe tata sana, ni bora ufanye abavyotaka yeye huku wew ukiwa na suluhu isio na madhara.

NB: Usiache kumpenda mkeo, huyo ni chaguo lako.
 
Naona unapenda ngono sana? Unafikiri kwanini Mungu hakumpa Adam mke zaidi ya mmoja? Amri kuu ya ndoa ndiyo inaanzia hapa. Hao wanawake wawili ni kuhalalisha uzinzi na usherati
Na kwanin alimpa mfalume selemami wake zaidi ya mmoja na kwanin aruhusu waisilamu waoe mke zaidi ya mmoja

Lakini pia unaweza nisaidia andiko kutoka kweny bibilia, kwamba mwanaume aoe mke mmoja
 
Hii pia ni kweli, vizawadi vinaleta stimu sana

Kingine sio kila siku kusex home tu, siku nyingine unafanya vacation, hotel at least hayachoshi

Women are full of suprises
Acheni kuchosha wanaume, daily mna kisa na sababu! Mtu kaacha wanawake woote kakuoa, still kwenye ndoa aendelee kuhangaika daily kutafuta pipi kijiti, chokoleti, sijui magauni hata kama hana hela ili tu apewe papuchi ambayo ameilipia mahali na kuamin angekula had kushiba.

Kwa vile mtu hataka kukupa kei una andaa lak na 70 kumpeleka hotel walau yenye chumba kizuri, mafuta umeweka ya 50,000 vyakula na vinywaji pale ndani 70,000
Just lak 3 imeondoka kwa siku moja kwa kugharamia kei ya mkewe na mkirud nyumban next day anarejea tabia yake.

Mkuu ushauri wangu ni huu


Usitake kumridhisha mwanamke kwa kila atakavyo hutaweza na ni vigeu geu, leo utampa hiki na kile atafurahia sana ipo siku utakuja na hicho hicho ukanuniwa sanaaa.

Pili mwanamke anaeumiza hisia ni yule uliyekuwa unafanya kila atakacho tena muda mwingine zaidi ya uwezo wako, mzaz kijijin umemnyima elf 30 ya shamba ukampa laki mmoja umpendae siku akikuacha utakumbuka matukio kama haya na yanaumizaga mno mno.

La muhimu ishi nao easy not to the maximum.

Toka enzi na enzi za wazee wetu walikuwa na michepuko eti sisi tuliozaliwa juzi tunakuja na ukisasa na kujifanya tunabadili kila tulichokikuta mwisho wa siku tunatembea njian huku tukiongea peke yetu na baadhi kufa mapema sabab ya ndoa.


We live once, ukichagua chungu ujue ndo imetoka tamu unayosubir utaiona huko tunakokufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uboya. Pata mchepuko wewe. Akiwa anabana kivyake.
 
Nguvu za kiume zinakwisha kama mishipa ya uume kila siku inadinda tatizo sisi wanaume tunataka kila siku, come on get a break, hapo unaishi gheto au nyumba chafu yaani wewe na mwanamke wote unakuta mpo shagalabagala nguo moja huku kitu jikoni asee raha ya sex kwa huyo mke inakujaje.

Mkuu vipo vitu vinamvutia mwanamke kwenye sex, tafuteni namna ya kukeep environments fresh and clean sasa kama mtalemewa na uchafu, kila siku ugali kabichi amna mtu atapata desire ya sex, mkuu elewa kuna mwanamke ukido naye anaona kama unamchafua tu wapo wa ivoo wengi.

I met a girl one day akanipongeza sana kuwa ameenjoy na hajawa feeling good before me, nikamwambia why baby, akasema yaan wengine wanamsumbua tu na kumchafua bila reason, since yet the girl finds me on her phone but am busy with the upcoming wife.
 
@mr increase kama una assume hivyo for me , you are wrong.

Environmental sometimes has nothing to do with sexual desires.

Mazingira ya kwangu ni mazuri kuliko chumba cha landmark hotel but who has the duty to maintain the cleanliness of the room.

We have two maids ambao wapo home whole day. Lakini bado kulikuwa na excuses zisizokuwa na msingi. Ila kwa sasa I am enjoying the life. Sikumbuki mara ya mwisho kuomba mbususu ni lini. Ila napewa kila wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…