Hii pia ni kweli, vizawadi vinaleta stimu sana
Kingine sio kila siku kusex home tu, siku nyingine unafanya vacation, hotel at least hayachoshi
Women are full of suprises
Acheni kuchosha wanaume, daily mna kisa na sababu! Mtu kaacha wanawake woote kakuoa, still kwenye ndoa aendelee kuhangaika daily kutafuta pipi kijiti, chokoleti, sijui magauni hata kama hana hela ili tu apewe papuchi ambayo ameilipia mahali na kuamin angekula had kushiba.
Kwa vile mtu hataka kukupa kei una andaa lak na 70 kumpeleka hotel walau yenye chumba kizuri, mafuta umeweka ya 50,000 vyakula na vinywaji pale ndani 70,000
Just lak 3 imeondoka kwa siku moja kwa kugharamia kei ya mkewe na mkirud nyumban next day anarejea tabia yake.
Mkuu ushauri wangu ni huu
Usitake kumridhisha mwanamke kwa kila atakavyo hutaweza na ni vigeu geu, leo utampa hiki na kile atafurahia sana ipo siku utakuja na hicho hicho ukanuniwa sanaaa.
Pili mwanamke anaeumiza hisia ni yule uliyekuwa unafanya kila atakacho tena muda mwingine zaidi ya uwezo wako, mzaz kijijin umemnyima elf 30 ya shamba ukampa laki mmoja umpendae siku akikuacha utakumbuka matukio kama haya na yanaumizaga mno mno.
La muhimu ishi nao easy not to the maximum.
Toka enzi na enzi za wazee wetu walikuwa na michepuko eti sisi tuliozaliwa juzi tunakuja na ukisasa na kujifanya tunabadili kila tulichokikuta mwisho wa siku tunatembea njian huku tukiongea peke yetu na baadhi kufa mapema sabab ya ndoa.
We live once, ukichagua chungu ujue ndo imetoka tamu unayosubir utaiona huko tunakokufa
Sent using
Jamii Forums mobile app