Unjubinunuk
Member
- Mar 14, 2023
- 10
- 22
Nenda malawi huenda utapata wazo la kusaidia kupambana na kimbunga fredyHabari zenu tena wadau.. nafikiria kwenda katika nchi za jirani hapa kama Msumbiji, Malawi au Zambia. Yoyote mwenye uzoefu wa namna ya kufanya biashara katika nchi hizi anisaidie na connection hizo.
Mtaji wangu ni mdogo lakini inavyoonekana kwa hizo nchi naweza kufanya jambo likaenda, naomba mwenye uzoefu anisaidie.
Kimbunga ni Mozambique, Malawi akawasaidie kupambana na choleraNenda malawi huenda utapata wazo la kusaidia kupambana na kimbunga fredy
Huko unachoma mafuta yako tu bure mkuu.
Bora ukae bongo utafute pesa, msumbiji machafuko yapo sana....malawi na zambia ni pakawaida tu labda uchukue vitu kama nguo, viatu pale kariakoo upeleke malawi na zambia wengi wanapiga pesa huu upande...
Ila wenye fedha pale Maputo ni wapopo na Wabongo!,tuache kuwa selfish na kukatishana tamaa, maisha popote duniani, bongo kama hauna chain ni shida, bora kwenda kujilipua TeteMsumbiji unaweza kuliwa nyama kama mbuzi,usiende huko komaa bongo
Na mtoa hoja ebu jitahidi kuonyesha utofauti kidogo na middle class wetu, elezea kwanza wewe mwenyewe interest zako za kibiashara zipo wapi, nini ndoto zako?,ukiweka hapa then bila shaka utapata mawazo zaidi, mfano labda unafikiria kuanzia na nguo, kununua hapa na kupeleka mazabuka definitely kuna watanzania wanafanya hivyo ni rahisi kukupa the way forward, but sasa inaonekana unataka kutafuniwa kila kitu
Yes mkuu sio biashara mbaya ila unahitajika kuwa very displine, changanya nguo na viatu hasa vya kike na watoto, Zambia ni safi ila usianzie miji mikubwa, jaribu miji njia ya Kaffe hadi kazungura border au Kuja mpaka wa Angola na Zambia, good luckBiashara ya nguo na / au viatu ndio nataka nifanye huko..
Nina uzoefu za zambia. nenda kafanye biashara kule,komaaa sema changamoto ni uzembe wa ubalozi wa Tanzania nchini zambia kushindwa kuelewana na mamlaka za zambia ili kushusha bei ya vitambulisho vya wafanyabiashara wa kitanzania nchini humu (COMESA BUSINESS PERMITS). 5000 kwacha is too expensive and for only 3 months.
Naomba ukichagua zambia upite City market chukua daladala ya kwenda MUMBWA NANGOMA, ushukie Round house bar & guest house kuna mbususu za hatar apo zenye asili ya Mongu na Angola
nawasilisha