The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Tanganyika nchi ya Nyerere.Kwani upo nchi gani
Kutalii mkuu.Mkuu siku mbili unaenda fanya shopping au utalii?
Natokea the great Tanganyika.Kwani unatokea nchi gani? Kama unatokea Taifa la Tanganyika, wewe nenda tu. Watakupokea kwa mikono miwili na kukuonesha Hotel ya hadhi yako maana hivyo visiwa vya Zanzibar ni Makoloni yetu tangu 26/04/1964.
Tuliwadanganyia kitu kinachoitwa 'Muungano'
1961.Tanganyika nchi ya Nyerere.
😂 😂 😂 😂Kwani upo nchi gani
Mwakulitafuta mwanakulipata,ngoja waje Wachambawima.Mi sipo Yakheee!Kwani unatokea nchi gani? Kama unatokea Taifa la Tanganyika, wewe nenda tu. Watakupokea kwa mikono miwili na kukuonesha Hotel ya hadhi yako maana hivyo visiwa vya Zanzibar ni Makoloni yetu tangu 26/04/1964.
Tuliwadanganyia kitu kinachoitwa 'Muungano'
Haaaaaaaa kwa hiyo ni kama ka wilaya ka ilalaZanzibar si nchi ya kutembelea siku tatu, namnukuu kessy mbunge wa nkasi, "Zanzibar ni nchi unayoweza kuizunguka yote kwa masaa sita, tena kwa baiskeli"
Ni hivyo kabisa mkuu!
Na mimi naongezea hapo kwenye nukuu ya mbunge Kessy "ukipuliza filimbi Zanzibar watu wote wanaisikia".Zanzibar si nchi ya kutembelea siku tatu, namnukuu kessy mbunge wa nkasi, "Zanzibar ni nchi unayoweza kuizunguka yote kwa masaa sita, tena kwa baiskeli"
Kessy haipendi Zanzibar.Zanzibar si nchi ya kutembelea siku tatu, namnukuu kessy mbunge wa nkasi, "Zanzibar ni nchi unayoweza kuizunguka yote kwa masaa sita, tena kwa baiskeli"
Usiogope mkuu Darmian Rubuva mwizi wa kura.Eti"Mfukua Makaburi" hizi ID nyingine hizi..
Zanzibar siku 1 ni kubwa sana. Mbunge Ally Kessy husema Zanzibar ukiwa na baskeli masaa 6 unakua umeimaliza na umerudi kulala.Mkuu siku mbili unaenda fanya shopping au utalii?
[emoji23][emoji23][emoji23]Usiogope mkuu Darmian Rubuva mwizi wa kura.
Endelea kujidanganya mkuu ati kwa baskeli..😅Zanzibar si nchi ya kutembelea siku tatu, namnukuu kessy mbunge wa nkasi, "Zanzibar ni nchi unayoweza kuizunguka yote kwa masaa sita, tena kwa baiskeli"