kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
Hello bosses, nimetumia baadhi ya game engines lkn linapokuja swala la kubalance hivi vitu :- 1)Component Reusability, 2)Perfomance, 3)State management bado game engine nyingi sana zinafanya tradeoffs, yaan vinafavor baadhi ya hizo issue na kupuuzia nyngne. Hii inafanya ukute game linachukua storage kubwa sana au RAM kubwa kama ilivyo kwa baadhi ya games maarufu. Au engine kuwa ngumu sana kutumika kwa developers
Mechanics zanazotumiwa na ReactJS behind the scene kiukweli zinafaa sana kuwa adopted kwenye mechanisms za game engines. Kwenye React kila mara state inapobadilika basi inasababisha re-rendering, pia inabadili tu kile kilichobadilika na kuacha vitu vingine vikiwa hvohvo, kwa mtu alie-master react anaweza tengeneza components chache sana ila zikawa re-used kutengeneza app kubwa tu.
React imekosa tu 3d support coz haikua ni idea yake kpnd inaanza kutengenezwa, kuna baadhi ya plugins lkn bado haziperform kwa sababu react haikutengenezwa kwa ajili ya kudeal na graphics ila kama hilo lingekua ni lengo la react basi tungekua na game engine moja efficient sana.
Peace
~Kali Linux