Delacruzito
Senior Member
- Aug 5, 2019
- 148
- 164
Ni rahisi sana kugain Upper ABS ila sio lower ABS na OBLIQUES hivi hii ni kwangu mimi tu au hata nyie mnapata matokeo sawa na mimi?
Si mchezo asee maana ni mwezi wa tatu huu upper abs zimekua poped ila lower abs khaa! Hadi nachukia asee😅😅Lazima uteseke sana..Tena utenge session kwa ajili ya hiyo tumbo la chini
Inaonekana zinakomaza ule mguu piaKwa wale wageni probably
View attachment 3366182
Vigimbi lazima vichomoke!Inaonekana zinakomaza ule mguu pia
Hapa ndipo vitambi vinatushindia....maana lower abd muscles strength zinalegea na futa linajaaKwa wale wageni probably
View attachment 3366182
Kwa maelezo ya kwenye picha hapoo juu inaonesha mazoezi yake yanafanya mguu uwe imara pia mfano hiyo ya kunyonga baisikeli na kunyanyua miguu hapo misuli ya sphincter inahusika sanaInaonekana zinakomaza ule mguu pia
Hilo ni uhakika kabisaInaonekana zinakomaza ule mguu pia
Kazi sana aseeHapa ndipo vitambi vinatushindia....maana lower abd muscles strength zinalegea na futa linajaa
Yes hilo ni muhimu sana fasting ni nzuri zaidi.Mchawi ni chakula. Kwanza kabisa anza na fasting.
Chakula mara moja ina 24 hrs.
Ukishakonda, anza mazoezi na protein.
Ila ukitaka mazoezi yatoe kitambi, utasora.
Flat tummy before six packs.
Yes hapo ni uhakika kakaKwa maelezo ya kwenye picha hapoo juu inaonesha mazoezi yake yanafanya mguu uwe imara pia mfano hiyo ya kunyonga baisikeli na kunyanyua miguu hapo misuli ya sphincter inahusika sana
Numbisa upo?? Dah kitambo kweliSawa sawa
Yes hata mazoezi nayofanya ni full bodyNi muhimu kufanya mazoezi anuai ili kuleta matokeo kwenye mwili mzima kabla ya kufocus na tumbo kwa maana mwili unapoteza fat kama single unit, kupunguza chakula ni muhimu zaidi
aunaongelea mguu au mguu???Inaonekana zinakomaza ule mguu pia
Mguuaunaongelea mguu au mguu???
anhaa.. Mguu unakomaa pia.Mguu