Nafkiri hakuna kitu kigumu kugain kwenye mazoezi kama Lower ABS na OBLIQUES

Nafkiri hakuna kitu kigumu kugain kwenye mazoezi kama Lower ABS na OBLIQUES

Si mchezo asee maana ni mwezi wa tatu huu upper abs zimekua poped ila lower abs khaa! Hadi nachukia asee😅😅
Sasa Kuna vyakula uache kuvila ila kupata matokeo ya haraka,,fat isiwe nyingi..or kama unashindwa basi kunywa maji ya uvuguvugu kabla ya kula ..na pia maji ya baridi usipendelee sana after meal yenye mafuta....swali je unataka kuingia kwenye mitindo or uko obsessed na sexy body..??😁😁
 
Sasa Kuna vyakula uache kuvila ila kupata matokeo ya haraka,,fat isiwe nyingi..or kama unashindwa basi kunywa maji ya uvuguvugu kabla ya kula ..na pia maji ya baridi usipendelee sana after meal yenye mafuta....swali je

Sasa Kuna vyakula uache kuvila ila kupata matokeo ya haraka,,fat isiwe nyingi..or kama unashindwa basi kunywa maji ya uvuguvugu kabla ya kula ..na pia maji ya baridi usipendelee sana after meal yenye mafuta....swali je unataka kuingia kwenye mitindo or uko obsessed na sexy body..??😁😁
Yani about kula for now nakula mlo mmoja for 24hrs. Kuhusu kunywa maji ya baridi nishaachaga kitambo sana. And kingine sio kwamba eti nina mwili mkubwa wala kitambi hapana. Na pia sio kwamba nataka kuingia kwenye mitindo ya fashion. A big no.. ila tu me mwenyewe napenda mwili wangu uwe fit na napenda kuwa na body fitness sio Mwanaumwe unakua na nyama za mwili zimelegea.. yani Mwanamke akipiga mguu chini nyama za paja zinatingishika na mimi nae iwe ivyo ivyo? Nikasema hapana lazima mwili wangu uwe fit. Nyama za mwili zikaze.
 
Mchawi ni chakula. Kwanza kabisa anza na fasting.
Chakula mara moja ina 24 hrs.
Ukishakonda, anza mazoezi na protein.
Ila ukitaka mazoezi yatoe kitambi, utasora.
Flat tummy before six packs.
Sawa sawa
 
Back
Top Bottom