Nafkiri hakuna kitu kigumu kugain kwenye mazoezi kama Lower ABS na OBLIQUES

Inaonekana zinakomaza ule mguu pia
Kwa maelezo ya kwenye picha hapoo juu inaonesha mazoezi yake yanafanya mguu uwe imara pia mfano hiyo ya kunyonga baisikeli na kunyanyua miguu hapo misuli ya sphincter inahusika sana
 
Mchawi ni chakula. Kwanza kabisa anza na fasting.
Chakula mara moja ina 24 hrs.
Ukishakonda, anza mazoezi na protein.
Ila ukitaka mazoezi yatoe kitambi, utasora.
Flat tummy before six packs.
Yes hilo ni muhimu sana fasting ni nzuri zaidi.
 
Kwa maelezo ya kwenye picha hapoo juu inaonesha mazoezi yake yanafanya mguu uwe imara pia mfano hiyo ya kunyonga baisikeli na kunyanyua miguu hapo misuli ya sphincter inahusika sana
Yes hapo ni uhakika kaka
 
Ni muhimu kufanya mazoezi anuai ili kuleta matokeo kwenye mwili mzima kabla ya kufocus na tumbo kwa maana mwili unapoteza fat kama single unit, kupunguza chakula ni muhimu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…