gwakipanga
JF-Expert Member
- Dec 1, 2011
- 794
- 638
Kama sijakosea nafsi ndiyo roho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usi lala mike kama una ona hilo jina lina nipwaya yani , jf-expert member"!! Sio fibaya kupendekeza niitwe nani nitashukuru pia.Mods hebu wekeni utaratibu mpya wa kutoa hizi status... eti mtoa mada naye ni jf-expert member''!!
Heshima kwenu wadau, nijuavyo mi ni kwamba binadamu ana mihimili mikuu mitatu. Kwanza ni roho, pili ni mwili na tatu ni nafsi.
ROHO nafahamu ni ile pumzi ya uzima kutoka kwa mungu mwenyezi, ambayo ipo connected na Mungu mwenyewe.
MWILI ni Physical appearance ya mtu ambayo inajumuisha milango yote ya fahamu. Kwa suala la NAFSI bado sijalipatia ufumbuzi.
Naomba mwenye elimu zaidi atujuze.
Hv ulshawahi kuiona oxygen?hivi ushawahi kuona protini ? je vitamin ?
ila bado unaamini vipo
Akili hupimwa na nn?Akili ni ule ufahamu wa kuweza kupembua zuri na baya, jema na ovu. na kuna milango mikuu 5 ya fahamu, ambayo akili inaweza kutumia katika utendaji wake. kwa mfano kwa kutumia mlango wa fahamu wa ulimi, akili inaweza kutofautisha maelfu ya ladha. ulimi ni kama kiwakilishi tu, coz kama ukiwa umezimia kwa mfano, hata ukipewa kitu uonje hutoweza kupata ladha, why?? kwa sababu ufahamu wako(akili) haifanyi kaz kwa wakati huo. kwa akili ndo fahamu yenyewe inayokuongoza kufanya shughuli. na ulimi, sikio, ngozi, macho na pua hi ni milango ambayo akili inatumia katika utendaji wake. ntaendelea upande wa roho.
Umeacha moja unconscious mindkwa faida yako, kuna aina mbili za ufahamu. 'conscious mind' na 'sub conscious mind'. conscious mind ni aina ya ufaham ambao nimeuzungumzia hapo juu. ni ule unatumia milango ya fahamu. ufahamu unadili na mambo ya hiari tu, kama vile kusikiliza, kula na mambo yote unayojiongoza katika kuyafanya. conscious mind ipo kwa ajili ya kuchambua kila tendo ulifanyalo. tukija kwenye sub conscious huu ni aina ya ufahamu hujiongoza wenyewe. hu deal na matendo yasiyo hiari, mfano unapolala conscious mind inakua haifanyi kaz. lakin kinachofanya mapigo ya moyo yaendelee kupiga, msukumo wa damu na kupumua ni sub conscious. i hope nimechangia.
Mkuu umejitahid kuleleza vzr lkn hapa kwenye maana ya akili. Cdhan km IPO sahh sana kwasababu kuna mambo kwako n uovu lkn kwa wengine cvyo, kuna mambo kwako n mema ila kwa wengine c mema, hii haiwez kualalisha kipmo cha aklAkili ni ule ufahamu wa kuweza kupembua zuri na baya, jema na ovu. na kuna milango mikuu 5 ya fahamu, ambayo akili inaweza kutumia katika utendaji wake. kwa mfano kwa kutumia mlango wa fahamu wa ulimi, akili inaweza kutofautisha maelfu ya ladha. ulimi ni kama kiwakilishi tu, coz kama ukiwa umezimia kwa mfano, hata ukipewa kitu uonje hutoweza kupata ladha, why?? kwa sababu ufahamu wako(akili) haifanyi kaz kwa wakati huo. kwa akili ndo fahamu yenyewe inayokuongoza kufanya shughuli. na ulimi, sikio, ngozi, macho na pua hi ni milango ambayo akili inatumia katika utendaji wake. ntaendelea upande wa roho.
mbona mkuu mi cjatoa kipimo cha akili hapo. mi nimeeleza akili ni nini? na kazi yake ni nini? na milango yake ni ipi? bado cjaeleza kipimo cha akili. but nikipata wasaa ntaeleza.Mkuu umejitahid kuleleza vzr lkn hapa kwenye maana ya akili. Cdhan km IPO sahh sana kwasababu kuna mambo kwako n uovu lkn kwa wengine cvyo, kuna mambo kwako n mema ila kwa wengine c mema, hii haiwez kualalisha kipmo cha akl
Heshima kwenu wadau, nijuavyo mi ni kwamba binadamu ana mihimili mikuu mitatu. Kwanza ni roho, pili ni mwili na tatu ni nafsi.
ROHO nafahamu ni ile pumzi ya uzima kutoka kwa mungu mwenyezi, ambayo ipo connected na Mungu mwenyewe.
MWILI ni Physical appearance ya mtu ambayo inajumuisha milango yote ya fahamu. Kwa suala la NAFSI bado sijalipatia ufumbuzi.
Naomba mwenye elimu zaidi atujuze.
Devience theoryMkuu umejitahid kuleleza vzr lkn hapa kwenye maana ya akili. Cdhan km IPO sahh sana kwasababu kuna mambo kwako n uovu lkn kwa wengine cvyo, kuna mambo kwako n mema ila kwa wengine c mema, hii haiwez kualalisha kipmo cha akl
bas ni sawa na kusema roho + mwili = nafsi.Kwa mtazamo wangu nafsi ndio wewe mwenyewe na sio huo mwili...ni kitu ambacho hakiwezi kuonekana kwa kushikwa wala kwa kutumia chombo chochote.
Na kutoonekana kwake hakuondoi maana kuwa hakuna hicho kitu na ili kuthibitisha hilo ndio maana Mungu akatoa angalizo
"Ole wao wenye kudhurumu nafsi zao na za wenzao"
Hii ni kuashiriabkuwa nafsi ndio binadamu halisi na sio mwili.
Kwani wewe ni mwili?bas ni sawa na kusema roho + mwili = nafsi.