Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Tatizo kubwa la Afrika ni kuweka sheria ambazo sisi wenyewe hatuko tayari kuzifuata.Mwisho wa siku nikua afrika tunahitaji kubuni mfumo wetu wakutuendesha hii demokrasia haitotuacha salama
Vv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo kubwa la Afrika ni kuweka sheria ambazo sisi wenyewe hatuko tayari kuzifuata.Mwisho wa siku nikua afrika tunahitaji kubuni mfumo wetu wakutuendesha hii demokrasia haitotuacha salama
Idol=idle ni hilo tu ndugu unaweza endelea.hehehe
wabongo mpo idol sana
I also don't take your rant serious, should everyone follow my lead?
Maelezo yako yanaonyesha huelewi kabisa unachokifuatilia na hivyo basi acha kupotosha umma.Kwa kukusaidia tu NASA hawahusiki katika kesi hii na pale walipokuwa wameshitakiwa kwa kosa la kutaka kuvuruga uchaguzi, Jaji mkuu Maraga aliifuta kesi hiyo na kuwaomba waondoke mahakamani kwamba hakuna haja ya wao kuwepo. NASHAURI tusubiri Judgement itakayotolewa Monday...Kuanzia KTN mpaka citizen wote ni kesi ya uchaguzi live.
Mawakili wa NASA wanavyotupa vipengele kadhaa kwa wataalam wa IEBC ,kuna kila dalili CJ Maraga akafuta uchaguzi kwa Mara nyingine.
Hii Itakuwa at taxpayers' cost and that is the true definition of the so called "true democracy"
Rais atakayewatoa Wakenya kwenye lindi la msiba wa wizi wa Mali za Taifa ni RAO tuuuu. 3rd round is coming very soon
Except where Maraga decides to be vindictive.Inakaa wengi wenu mliskiza tu submissions za civil society hamkungoja majibu ya Uhuru na IEBC.
Last time the case was weak. This time round there is no case.
Naweza kwambia bila shaka.
The decision to uphold Uhuru's win will be unanimous. Yaani majaji wote watasema Uhuru aapishwe.
I doubt he can decide to be vindictive.Except where Maraga decides to be vindictive.
Thats where the Constitution id ****d up.
Correction:.. NASA hawajafungua kesi yoyote this time...Kuanzia KTN mpaka citizen wote ni kesi ya uchaguzi live.
Mawakili wa NASA wanavyotupa vipengele kadhaa kwa wataalam wa IEBC ,kuna kila dalili CJ Maraga akafuta uchaguzi kwa Mara nyingine.
Hii Itakuwa at taxpayers' cost and that is the true definition of the so called "true democracy"
Sometimes, if you look close enough, judges feel that they wield the power of God in their hands.I doubt he can decide to be vindictive.
It will be counter productive anyway because the majority decision will be to uphold. Meaning Maraga will have angered Uhuru twice for nothing.
Retirement plan for the old man.I'm not a prophet, but a day will come when you will understand my utterance regarding what Raila is currently trying to do.
umeangalia citizen news.Retirement plan for the old man.