Nafuatilia kesi ya uchaguzi Kenya, kuna kila dalili ya kuwepo uchaguzi wa tatu

I also don't take your rant serious, should everyone follow my lead?

I'm not a prophet, but a day will come when you will understand my utterance regarding what Raila is currently trying to do.
 
Rais atakayewatoa Wakenya kwenye lindi la msiba wa wizi wa Mali za Taifa ni RAO tuuuu. 3rd round is coming very soon
 
Kuanzia KTN mpaka citizen wote ni kesi ya uchaguzi live.
Mawakili wa NASA wanavyotupa vipengele kadhaa kwa wataalam wa IEBC ,kuna kila dalili CJ Maraga akafuta uchaguzi kwa Mara nyingine.
Hii Itakuwa at taxpayers' cost and that is the true definition of the so called "true democracy"
Maelezo yako yanaonyesha huelewi kabisa unachokifuatilia na hivyo basi acha kupotosha umma.Kwa kukusaidia tu NASA hawahusiki katika kesi hii na pale walipokuwa wameshitakiwa kwa kosa la kutaka kuvuruga uchaguzi, Jaji mkuu Maraga aliifuta kesi hiyo na kuwaomba waondoke mahakamani kwamba hakuna haja ya wao kuwepo. NASHAURI tusubiri Judgement itakayotolewa Monday...
 
Rais atakayewatoa Wakenya kwenye lindi la msiba wa wizi wa Mali za Taifa ni RAO tuuuu. 3rd round is coming very soon

Inakaa wengi wenu mliskiza tu submissions za civil society hamkungoja majibu ya Uhuru na IEBC.
Last time the case was weak. This time round there is no case.
Naweza kwambia bila shaka.
The decision to uphold Uhuru's win will be unanimous. Yaani majaji wote watasema Uhuru aapishwe.
 
Except where Maraga decides to be vindictive.
Thats where the Constitution id ****d up.
 
I doubt he can decide to be vindictive.
It will be counter productive anyway because the majority decision will be to uphold. Meaning Maraga will have angered Uhuru twice for nothing.
 
Kuanzia KTN mpaka citizen wote ni kesi ya uchaguzi live.
Mawakili wa NASA wanavyotupa vipengele kadhaa kwa wataalam wa IEBC ,kuna kila dalili CJ Maraga akafuta uchaguzi kwa Mara nyingine.
Hii Itakuwa at taxpayers' cost and that is the true definition of the so called "true democracy"
Correction:.. NASA hawajafungua kesi yoyote this time...
 
I doubt he can decide to be vindictive.
It will be counter productive anyway because the majority decision will be to uphold. Meaning Maraga will have angered Uhuru twice for nothing.
Sometimes, if you look close enough, judges feel that they wield the power of God in their hands.
 
Siasa Kenya zimeisha na wananchi wamerudi kazini ni kuijenga Taifa kama kawaida mpaka kieleweke.
 
uchaguzi wa marudio wa mara ya tatu ni lazima maana usipofanyika jaji Maraga atakuwa kayarudia matapishi yake. kitendo ambacho mbwa pekee ndiye anayeweza kufanya.
 
Maraga hivi kwa nini asichukue mabilioni ya Uhuru halafu apige kimya tu
 
Back
Top Bottom