Disclaimer: Mimi ni mwanachama wa CCM.
Siasa zinagusa maisha ya kila siku ya mwanadamu kwani sera zinazotungwa au maamuzi yanayofanywa na wanasiasa yana athiri moja kwa moja maisha ya kila mtu.
Mtu unaweza ukadhani kuwa Watanzania wengi hawafuatilii siasa; sio kweli, watu wanafuatilia siasa na wanaongelea siasa ila Kwa tahadhari sana. Sina uhakika kwa nini kuna tahadhari kiasi hiki.
Nimekuwa nikisoma posts tofauti tofauti zinazohusu kuuambia umma mambo makuu ambayo CCM tumeweza kutekeleza chini ya uongozi thabiti wa Mh. SSH. Ukiangalia comments nyingi ni za kuonyesha kutokuridhishwa na uongozi wake.
Vilevile huku mitaani ambako raia wa kawaida wapo, hali si nzuri sana.
Kwa mtazamo wangu, hali ya sasa ya kukubalika kwa chama changu ni kama hali ya mwaka 2015. Mtiti wake haukuwa mdogo, ingawaje tulishinda uchaguzi na kuendelea kubaki madarakani.