Kenya 2022 Nafuatilia Uchaguzi wa majirani zetu kiukweli NEC ya Mahera ni bora kuliko Tume Huru ya Uchaguzi Kenya

Kenya 2022 Nafuatilia Uchaguzi wa majirani zetu kiukweli NEC ya Mahera ni bora kuliko Tume Huru ya Uchaguzi Kenya

Kenya 2022 General Election

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa

Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa

Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania

Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
 
Mwanzo mgumu kaka, tusipinge kila kitu, tutiane moyo wakati mwingine.
Ilichokifanya Kenya Tz hatuwezi kukifanya.
Sijapinga nimeuliza tu tofauti ya NEC na Tume huru ya Uchaguzi ni nini?
 
Hata wanapotaka katiba mpya mi huwa siwaelewi,, [emoji16][emoji16], hivi wanafikiriaga hiyo katiba wao ndo wanahaki ya kuiandika peke yao na kwamba itapatikana wanavyoitaka wao iwe?

Mfano kupunguza madaraka ya Rais hadi yafike level ya Diwani? [emoji23][emoji23]
 
Hata wanapotaka katiba mpya mi huwa siwaelewi,, [emoji16][emoji16],hivi wanafikiriaga hiyo katiba wao ndo wanahaki ya kuiandika peke yao na kwamba itapatikana wanavyoitaka wao iwe?.
Mfano kupunguza madaraka ya Rais hadi yafike level ya Diwani? [emoji23][emoji23]
Karibia wazee wote wa kijani akiwemo MWENYEKITI wsko, hitaji lao ni katiba mpya, ww kajamba nani unaona hapana. JE Kati yako na wao nani mshika makali? Nimeamini pasi shaka kuwa wa fuata mkumbo bado mko wengi mno, badala ya kulilia kizazi chake kione nuru ya kula keki ya taifa, ww unalilia giza ili wenye chama waendelee kuteuana na kuchaguana.
 
Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa

Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa

Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania

Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
hii hii ya kura kwenye mabox mchana mchana yashapigiwa kura, hii hii ya kuzuia mawakala kwa sababu ya kijinga hadi saa sita mchana...

Mkuu upo serious kweli

Hivi hata maana ya tume huru ya uchaguzi unaielewa kweli..kuna wakati mjinga akinyamaza huonekana mjanja nadhani kosa lako umelijua umeshindwa kuficha ujinga wako.

Katiba pendekezwa ya warioba iletwe mezani

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa

Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa

Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania

Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
Wewe uvccm wazazi wako walifanya kosa kubwa kukupeleka kusoma shule za wazazi ccm....
 
Back
Top Bottom