YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kenya kampeni ni mwaka mzima zilianza mwezi wa nane 2021
Yaani kazi mwaka mzima hazifanyiki kila Waziri yuko kutwa jimboni kampeni na Raisi na makamu wake!!
Kenya ukiwa lofa kampeni huwezi
Tanzania kwenye hilo tumewazidi
Muda wa kampeni unakuwa mfupi karibu na uchaguzi tu ili mawaziri na Raisi na makamu wafanye kazi