Alimfuata Magufuli baada ya Chadema kutiheshimu mikataba waliyokubaliana ya malipo Mashinji akienda na Lowasa Chadema
Mashinji Duni Haji na Dk Slaa,Lowasa Sumaye na Nyalandu kwa mfano kuna makubaliano waliingia na Chadema hasa kuhusu mambo ya malipo na uteuzi nk
Chadema ikakiuka ikawaacha kwenye mataa ! Ndipo Mashinji ,Lowasa,Sumaye, Dk Slaa ,Mashinji na Nyalandu wakaamua kukimbia Chadema wasife njaa
Chadema waliwa blackmail kwa ahadi hewa ili tu washinde uchaguzi
Anyway same happened to Bernard Membe alikuwa blackmailed na ACT wazalendo mchana kweupe jua linawaka.Wakavunja makubaliano walimuacha njia panda barabarani akarudi CCM
Kifupi vyama vya upinzani kupata vigogo kutoka CCM haiji kutokea tena