johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sijapinga nimeuliza tu tofauti ya NEC na Tume huru ya Uchaguzi ni nini?Mwanzo mgumu kaka, tusipinge kila kitu, tutiane moyo wakati mwingine.
Ilichokifanya Kenya Tz hatuwezi kukifanya.
Umefura!Kwani Kila kitu lazima upost,vinhine no busara kukaa kimya ili kuficha uninga wako.
Karibia wazee wote wa kijani akiwemo MWENYEKITI wsko, hitaji lao ni katiba mpya, ww kajamba nani unaona hapana. JE Kati yako na wao nani mshika makali? Nimeamini pasi shaka kuwa wa fuata mkumbo bado mko wengi mno, badala ya kulilia kizazi chake kione nuru ya kula keki ya taifa, ww unalilia giza ili wenye chama waendelee kuteuana na kuchaguana.Hata wanapotaka katiba mpya mi huwa siwaelewi,, [emoji16][emoji16],hivi wanafikiriaga hiyo katiba wao ndo wanahaki ya kuiandika peke yao na kwamba itapatikana wanavyoitaka wao iwe?.
Mfano kupunguza madaraka ya Rais hadi yafike level ya Diwani? [emoji23][emoji23]
hii hii ya kura kwenye mabox mchana mchana yashapigiwa kura, hii hii ya kuzuia mawakala kwa sababu ya kijinga hadi saa sita mchana...Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania
Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
Wewe uvccm wazazi wako walifanya kosa kubwa kukupeleka kusoma shule za wazazi ccm....Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania
Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?