NEC navi Ipi? ya Kenya au Tanzania au ya Chadema inayosimamia uchaguzi ndani ya ya Chadema yaani National Election commission (NEC) ya ChademaNEC ni MAVI
Umeandika Nini wewe mburura Kenya na Tozonia yako ipi imepepiga hatua kimaendeleo??Kenya kampeni ni mwaka mzima zilianza mwezi wa nane 2021
Yaani kazi mwaka mzima hazifanyiki kila Waziri yuko kutwa jimboni kampeni na Raisi na makamu wake!!
Kenya ukiwa lofa kampeni huwezi
Tanzania kwenye hilo tumewazidi
Muda wa kampeni unakuwa mfupi karibu na uchaguzi tu ili mawaziri na Raisi na makamu wafanye kazi
Swala la Mombasa wahusika walifahamishwa na kulielewa, halikutokana na tume limetokana na mchapishaji wa karatasi za kura.Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania
Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
Ha ha haaa!! Mkuu, kuna tofauti kati ya uchaguzi na uchafuzi. Uchaguzi lazima kasoro zionekane hapa na pale, kwenye uchafuzi yote ni moja kwa sababu end result ni uchafu tu.Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania
Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
Maendeleo makubwa ya nini ? Ya ukabila?Umeandika Nini wewe mburura Kenya na Tozonia yako ipi imepepiga hatua kimaendeleo??
Huoni aibu kuandika upopoma namna hii
Msimamizi wa uchapishaji ni tume ya uchaguzi!!!Swala la Mombasa wahusika walifahamishwa na kulielewa, halikutokana na tume limetokana na mchapishaji wa karatasi za kura.
Vijana wa ufipa watakuita sukumagang; shauri yako.Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania
Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
..kama ni hivyo basi Kenya wana afadhali kuliko Tanzania.Kenya kampeni ni mwaka mzima zilianza mwezi wa nane 2021
Yaani kazi mwaka mzima hazifanyiki kila Waziri yuko kutwa jimboni kampeni na Raisi na makamu wake!!
Kenya ukiwa lofa kampeni huwezi
Tanzania kwenye hilo tumewazidi
Muda wa kampeni unakuwa mfupi karibu na uchaguzi tu ili mawaziri na Raisi na makamu wafanye kazi
Tofauti ni Uhuru wa Tume. Tanzania Mkuu wa wilaya Tu anaweza kubadili matokeo na Msimamizi akaufyata.Sijapinga nimeuliza tu tofauti ya NEC na Tume huru ya Uchaguzi ni nini?
Haya Mambo Makubwa ungeacha kuyajadili. Unaweza kuelezea Zuchu alivyoshuka Kwa Mkapa Jana watu wakakuelewa.Hata wanapotaka katiba mpya mi huwa siwaelewi,, [emoji16][emoji16],hivi wanafikiriaga hiyo katiba wao ndo wanahaki ya kuiandika peke yao na kwamba itapatikana wanavyoitaka wao iwe?.
Mfano kupunguza madaraka ya Rais hadi yafike level ya Diwani? [emoji23][emoji23]
Kifupi dawa ya moto moto...kama ni hivyo basi Kenya wana afadhali kuliko Tanzania.
..Magufuli hakusimama kufanya kampeni, rafu, na ukatili, toka 2015 mpaka 2021 alipokufa.
Kifupi dawa ya moto moto.
Chadema kipindi cha Kikwete waliitisha migomo kibao ikiwemo ya madaktari na kusababisha mamia ya watanzania kufa kipindi cha huyo Dk Mashinji mliyemzawadia ukatibu mkuu Chadema kwa Kuua watu hospitalini kupitia migomo ya madaktari aliyohamasisha
CCM ikaamua imlete mtu atakayewaletea moto wa uhakika Magufuli
Kafariki lakini moto aliowapa sio wa dunia hii wapuuzi nyie hadi sasa mbalia lia ohh mama tafute machozi asante kwa maridhiano mama tunakukubali wapuuzi nyingi
Rudieni ujinga mlimfanyia Kikwete mtu mpole mcheshi mliyemlipa ujeuri
CCM ins watu makatili kuliko Magufuli
Magufuli cha mtoto mkome kabisa
Huyu Mama Samia msimkorofishe kama mlivyomfanyia Kikwete mkileta za kuleta 2025 CCM itawaletea mgombea anayemzidi Magufuli kwa mbabe
Behave yourselves
Hivi johnthebaptist unawezaje kuulinganisha uchaguzi huru wa Kenya na huu wetu tunaoweza kudiriki kuuita"uchafuzi" uliofanyika mwaka juzi?🥺Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania
Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
Wewe siyo wa kwanza kuifurahia hii katiba. Hata Bashiru, Polepole, Sabaya na Makonda walikuwa wanaishangilia hii katiba lkn leo hii kiko wapi?Hata wanapotaka katiba mpya mi huwa siwaelewi,, [emoji16][emoji16], hivi wanafikiriaga hiyo katiba wao ndo wanahaki ya kuiandika peke yao na kwamba itapatikana wanavyoitaka wao iwe?
Mfano kupunguza madaraka ya Rais hadi yafike level ya Diwani? [emoji23][emoji23]