Kenya Raisi akichagua wajumbe wa tume ya uchaguzi ni sawa ila kwa Tanzania Chadema watapinga!! Wajinga sanaUnajivunia tume ambayo inaongozwa na watu ambao huwa wanateuliwa moja kwa moja na mmoja wa wagombea urais? Alafu tukisema wewe ni kichaa utabisha. Hiyo Kenya ndio huwa inaitwa umaandazi na ushamba.
Umechanganyikiwa, nazungumza kuhusu wewe kujivunia hiyo tume yenu ya ubabaishaji. Fanya utafiti kwanza kuhusu uteuzi wa makamishna wa tume huru ya uchaguzi nchini Kenya. Ndio utajua kwamba Tz huwa mnafanya usanii tu sio uchaguzi.Kenya Raisi akichagua wajumbe wa tume ya uchaguzi ni sawa ila kwa Tanzania Chadema watapinga!! Wajinga sana
NEC ukisikia wameahirisha Uchaguzi eneo fulani ujue kuna mgombea kafaUmechanganyikiwa, nazungumza kuhusu wewe kujivunia hiyo tume yenu ya ubabaishaji. Fanya utafiti kwanza kuhusu uteuzi wa makamishna wa tume huru ya uchaguzi nchini Kenya. Ndio utajua kwamba Tz huwa mnafanya usanii tu sio uchaguzi.
Alimfuata Magufuli baada ya Chadema kutiheshimu mikataba waliyokubaliana ya malipo Mashinji akienda na Lowasa Chadema..Dr.Mashinji alijiunga na Ccm kumfuata Magufuli.
..hiki ulichoandika sidhani kama umekihakiki kabla ya ku-post, na unakiamini.
Sijapinga nimeuliza tu tofauti ya NEC na unao huru ya Uchaguzi ni nini?
Alimfuata Magufuli baada ya Chadema kutiheshimu mikataba waliyokubaliana ya malipo Mashinji akienda na Lowasa Chadema
Mashinji Duni Haji na Dk Slaa,Lowasa Sumaye na Nyalandu kwa mfano kuna makubaliano waliingia na Chadema hasa kuhusu mambo ya malipo na uteuzi nk
Chadema ikakiuka ikawaacha kwenye mataa ! Ndipo Mashinji ,Lowasa,Sumaye, Dk Slaa ,Mashinji na Nyalandu wakaamua kukimbia Chadema wasife njaa
Chadema waliwa blackmail kwa ahadi hewa ili tu washinde uchaguzi
Anyway same happened to Bernard Membe alikuwa blackmailed na ACT wazalendo mchana kweupe jua linawaka.Wakavunja makubaliano walimuacha njia panda barabarani akarudi CCM
Kifupi vyama vya upinzani kupata vigogo kutoka CCM haiji kutokea tena
Na huu ndo ukweli na si propaganda za mleta mada. Sahivi wameanza kuhesabu kura kila kituo nchi mzima na zoezi la kuhesabu linafanyika kwa uwazi kabisa na makamera yakimulika na kila kitu kinachoendelea kuonyeshwa live kabisa hatua kwa hatua... Ile habari ya mawakala wa upinzani kufukuzwa kwa mtutu wa bunduki kisha kura feki kuingizwa kwa mabegi meusi huwezi kuyaona kwa wenzetu..Mwanzo mgumu kaka, tusipinge kila kitu, tutiane moyo wakati mwingine.
Ilichokifanya Kenya Tz hatuwezi kukifanya.
Utter nonsenseKifupi dawa ya moto moto.
Chadema kipindi cha Kikwete waliitisha migomo kibao ikiwemo ya madaktari na kusababisha mamia ya watanzania kufa kipindi cha huyo Dk Mashinji mliyemzawadia ukatibu mkuu Chadema kwa Kuua watu hospitalini kupitia migomo ya madaktari aliyohamasisha
CCM ikaamua imlete mtu atakayewaletea moto wa uhakika Magufuli
Kafariki lakini moto aliowapa sio wa dunia hii wapuuzi nyie hadi sasa mbalia lia ohh mama tafute machozi asante kwa maridhiano mama tunakukubali wapuuzi nyingi
Rudieni ujinga mlimfanyia Kikwete mtu mpole mcheshi mliyemlipa ujeuri
CCM ins watu makatili kuliko Magufuli
Magufuli cha mtoto mkome kabisa
Huyu Mama Samia msimkorofishe kama mlivyomfanyia Kikwete mkileta za kuleta 2025 CCM itawaletea mgombea anayemzidi Magufuli kwa mbabe
Behave yourselves
Acha mambo Yako,we ndio Jecha au MafwezaπKuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania
Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
Nec ni ya Mahera ni uharo!NEC navi Ipi? ya Kenya au Tanzania au ya Chadema inayosimamia uchaguzi ndani ya ya Chadema yaani National Election commission (NEC) ya Chadema
Mgombea kupita bila kupingwa na police kusaidia watu wenye mabox ya kula yasiyo halaliKuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania
Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
Uchumi wao una ruhusu, na mfumo wao pia ni bora sana kulinganisha na huu wenu wa hovyo, hebu fikiria wame piga kampuni miezi kumi lakini hujasikia chama au mgombea yeyote akilalamika kufanyiwa hujuma, wote wanapewa haki sawa za kufanya mikutano ya kampuni, hapa Nec hadi huwa inajipa mamlaka ya mahakama na kutishia kufua chama kinacho one kana kuwa na upi zani mkubwa na ccm, maana yake tume ya uchaguzi ni mamluki wa ccm, polisi wa nafanya kile wanachoamriwa na ccm, jeshi vilevile, na hata si kwenye uchaguzi tu, Tanzania kila kitu kinafanywa kwa kufata matakwa ya ccm, mara kinana ameamua askari wa barabaranj waondolewe, mara shaka amepiga marufuku sijui nini Huko, nchi ni kama haina serikali, ccm ndiyo ime geuka serikali kuu, polisi, mahakama, jeshi nk, nchi bure kabisa hii.Kenya kampeni ni mwaka mzima zilianza mwezi wa nane 2021
Yaani kazi mwaka mzima hazifanyiki kila Waziri yuko kutwa jimboni kampeni na Raisi na makamu wake!!
Kenya ukiwa lofa kampeni huwezi
Tanzania kwenye hilo tumewazidi
Muda wa kampeni unakuwa mfupi karibu na uchaguzi tu ili mawaziri na Raisi na makamu wafanye kazi
Hili ni jukwaa la Kenya! Lakini nitatofautiana na wote wanaolinganisha uchafu wa mahera wa Tz na IEC ya Kenya. Hao wako mbali kwa kila hali hata ubinadamu wa kawaida tu! Hivi huyo Mahera (nachelea kumwita binadamu) angeruhusu uwazi ulioonyeshwa na IEC ya Kenya? Rubbish do not compare IEC with the that Rubbish lead by crooks! Congrats IEC, Congrats Kenyans.Kuna maeneo kadhaa Uchaguzi umeahirishwa kutokana na makosa ya Tume Huru ya Uchaguzi ikiwemo Uchaguzi wa Gavana wa Mombasa
Maeneo kadhaa vituo vilichelewa sana kufunguliwa
Udhaifu ninaoushuhudia sijawahi kuuona kwenye NEC yetu ya Tanzania
Hivi wanaolilia Tume Huru ya Uchaguzi huwa wanamaanisha nini hasa?
Disgusing Homo habilis cum rectus monkey!ππππ
View attachment 2321508