stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Hahahaha kweli ukiitwa kwenye fursa wewe ndie fursaWatu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu.
Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia.
Kwenye mafunzo yangu utajifunza:
📦 Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini
🏭 Jinsi ya kutafuta supplier wa kuaminika
💳 Namna ya kulipa salama
🚢 Jinsi ya kusafirisha mzigo hadi Tanzania bila usumbufu
Usikubali biashara ikupite kwa sababu ya kukosa taarifa.
0718408733
tuma sms WhatsApp
nahitaji mafunzo
ghalama 30,000
Nafundisha jinsi ya kujizalishia bidhaa na kuachana na kuagiza uchafu toka china. kkk.Watu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu.
Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia.
Kwenye mafunzo yangu utajifunza:
📦 Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini
🏭 Jinsi ya kutafuta supplier wa kuaminika
💳 Namna ya kulipa salama
🚢 Jinsi ya kusafirisha mzigo hadi Tanzania bila usumbufu
Usikubali biashara ikupite kwa sababu ya kukosa taarifa.
0718408733
tuma sms WhatsApp
nahitaji mafunzo
ghalama 30,000
Bidhaa zipi hizoNafundisha jinsi ya kujizalishia bidhaa na kuachana na kuagiza uchafu toka china. kkk.
Peleka ujinga huko.Watu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu.
Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia.
Kwenye mafunzo yangu utajifunza:
📦 Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini
🏭 Jinsi ya kutafuta supplier wa kuaminika
💳 Namna ya kulipa salama
🚢 Jinsi ya kusafirisha mzigo hadi Tanzania bila usumbufu
Usikubali biashara ikupite kwa sababu ya kukosa taarifa.
0718408733
tuma sms WhatsApp
nahitaji mafunzo
ghalama 30,000
Halafu huyu kaja kwa kuchelewa sana. Siku hizi wafanyabiashara wadogo hawana haja ya kuagiza China kwa sababu kuna wachina kibao Kkoo wanauza bei karibu sawa na China.Kwanini wewe huchamkii hiyo fursa utajirike? lakini unaitaka hiyo 30k ya ada.
Ghalama❎
Gharama✅
Nenda kwenye malls, maduka, na maghala ya wachina vlivyojaa nchini.Bidhaa zipi hizo