Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Nani amekuambia NGO yangu ina miezi miwili kwasasa? Nimekuambia nilianza kupata funds kutoka US Embassy (mwaka siwezi kukutajia) nikiwa na miezi miwili tu baada ya kufanya usajili wa NGO hiyoSio kweli. Hii ni scam kama scam nyingine. Siwez kubisha na gugo mm. Usieleze nadharia. EMBASY umezitaja nyingi sana, screenshot call for Proposal moja tu ya miaka hii miwili kutoka JICA. USAID Kama wana call nyingine nje ya hiyo iweke hapa. Yani we ututishe hapa NGO yako Ina miez miwili imepewa fund labda nabishana na jakaya kikwete
Tatizo lako wewe ni kujifanya mjuaji wakati hujui kitu kwenye hii tasnia ya NGOs