Tuo Tuo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 678
- 1,202
- Thread starter
- #161
Ubalozi wa Canada wanatoa call for proposals kila mwishoni mwa mwaka ndugu, hiyo call ni kwaajili ya miradi ambayo inafanyika mwaka huu. Kwa miradi itakayofanyika mwakani 2024, watatoa call for proposals ikifika Disemba 2023.
ohoo update wanaweka kwenye website gan ya hizo propasal