Rashidi Jololo
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,704
- 2,858
Nani amekuambia NGO yangu ina miezi miwili kwasasa? Nimekuambia nilianza kupata funds kutoka US Embassy (mwaka siwezi kukutajia) nikiwa na miezi miwili tu baada ya kufanya usajili wa NGO hiyoSio kweli. Hii ni scam kama scam nyingine. Siwez kubisha na gugo mm. Usieleze nadharia. EMBASY umezitaja nyingi sana, screenshot call for Proposal moja tu ya miaka hii miwili kutoka JICA. USAID Kama wana call nyingine nje ya hiyo iweke hapa. Yani we ututishe hapa NGO yako Ina miez miwili imepewa fund labda nabishana na jakaya kikwete
Unaelewa maana ya elfu 6000Nyie fungueni tu tukiona kimya tuna wapiga pin tu ..tume futa NGO zaidi ya elfu 6000 mwaka jana ...na mwaka huu kabla auja isha tuna futa zingine
Mkuu mbona hiyo call ni ya December 2022HUJUI KITU WEWE, sibishani na wewe tena
View attachment 2791424
Pesa Sio zako ,wala Sio za serikali yako, lakini unaonea wivu wa tz wenzako wakijivutia maokoto.Nyie fungueni tu tukiona kimya tuna wapiga pin tu ..tume futa NGO zaidi ya elfu 6000 mwaka jana ...na mwaka huu kabla auja isha tuna futa zingine
Sio jukumu letu kuwa lipia hela ya kuendeshea wana fungua afu hazifanyi kazi zina baki dormant kwa nini sizi Lambwe kichwaPesa Sio zako ,wala Sio za serikali yako, lakini unaonea wivu wa tz wenzako wakijivutia maokoto.
Ulitakiwa uzisimamie NGO zifanye vizur coz, zinaleta ustawi kwenye jamii yako mwenyewe,
We mkuu ni wa hovyo sana
Ngoja nku letee PDF
Nyingne ina kuja
Jibu kwa hoja sio mihemuko imbecile
Nahitaji nitalipaConsultation & mentorship fee ni Tsh 100,000
Nicheck PMNahitaji nitalipa
Watu mnao subiria salary slip hapo ndio ukomo wako wakufikiriSio jukumu letu kuwa lipia hela ya kuendeshea wana fungua afu hazifanyi kazi zina baki dormant kwa nini sizi Lambwe kichwa
Shuhuda kama hizi zinatia moyo hasa kwa ss tunaotarajia kuingia ulingoni mara hours za wanauzi zinatuvuta upande wao...unatupa moyo sana mkuu endelea kutupa madinii mwaga vitu mkuu watu tupate maarifaUnataka kuijua NGO yangu ili iweje? Kwa akili yako unadhani naweza kushare taarifa zangu binafsi hapa kwa manufaa yako?
Kwa kifupi NGO yangu inafanya kazi na hayo mashirika makubwa kitambo tu (UNDP, USADF, PEPFAR, Baadhi ya balozi, na oktoba/novemba hii nitakuwa na USAID Tanzania). Nilianza kupata funds kutoka US Embassy miezi 2 tu baada ya kusajili hiyo NGO
Mkuu tuambie basi ilikuaje ukapata yani ulikuwa na vigezo vipi timilifu na ss tufuate nyayo zakoNani amekuambia NGO yangu ina miezi miwili kwasasa? Nimekuambia nilianza kupata funds kutoka US Embassy (mwaka siwezi kukutajia) nikiwa na miezi miwili tu baada ya kufanya usajili wa NGO hiyo
Tatizo lako wewe ni kujifanya mjuaji wakati hujui kitu kwenye hii tasnia ya NGOs
Sababu za kufuta NGO zote hizo huwa nn nini hasa huwa wanakosea wapiNyie fungueni tu tukiona kimya tuna wapiga pin tu ..tume futa NGO zaidi ya elfu 6000 mwaka jana ...na mwaka huu kabla auja isha tuna futa zingine
Ubalozi wa Canada wanatoa call for proposals kila mwishoni mwa mwaka ndugu, hiyo call ni kwaajili ya miradi ambayo inafanyika mwaka huu. Kwa miradi itakayofanyika mwakani 2024, watatoa call for proposals ikifika Disemba 2023.
Kila balozi ina vigezo vyake, US Embassy wao wanahitaji wazo la kibunifu tu baasi. Haijalishi kama ni NGO, CBO ama Kikundi tu.Mkuu tuambie basi ilikuaje ukapata yani ulikuwa na vigezo vipi timilifu na ss tufuate nyayo zako
Je umejiuliza kwanini wanaanza na solutions kwenda kwenye problem.Kwamba tunaanzia solution kwenda kwenye problem?umenipa kitu.
Muelekeze haelewiUbalozi wa Canada wanatoa call for proposals kila mwishoni mwa mwaka ndugu, hiyo call ni kwaajili ya miradi ambayo inafanyika mwaka huu. Kwa miradi itakayofanyika mwakani 2024, watatoa call for proposals ikifika Disemba 2023.
Vijana Kazi kwenu, mmeshatafuniwa, mshindwe NYIE kuandika proposalKila balozi ina vigezo vyake, US Embassy wao wanahitaji wazo la kibunifu tu baasi. Haijalishi kama ni NGO, CBO ama Kikundi tu.