Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hili lipo wazi japo CCM wamekuwa hawalisemi sana hadharani, lakini unaona marekebisho yanayofanyika na ndipo hapa ninapojivunia kuwa mtanzania, wote hatujakubali uhayawani wa yule mtu na tulifurahi sana Mungu alivyoamua kesi na bahari imetulia
Pengine hata sio ndani ya Tanzania tu, nchi jirani nyingi hazikuweza kufanya kazi na Magufuli, hata Kagame ambaye Magufuli alikuwa akijipendekeza kwake kwa fujo alipoingia madarakani alikuja kumuona huyu mtu hafai na hata mazishi yake hakuhudhuria wala hakutuma mtu
Nashukuru watanzania tunakubaliana kwenye hili.