Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wote na nani?wote hatujakubali uhayawani wa yule mtu na tulifurahi sana Mungu alivyoamua kesi na bahari imetulia
Sasa mapenzi ya Mungu tusiyafurahie? Tena hasa hayo mapenzi ya Mungu yakiwa yametuliza bahari?Wote na nani?
Mimi usinisemee sijajafurahi.
Huenda wapi wengine wengi hawapo pamoja nawe kwenye hiki kimawazo.
Unafurahia vipi kifo cha mwenzio?
Kisiasa pia sipo pamoja nawe.
Jisemee nafsi yako usiwasemee nafsibza wengine. Lililopo rohoni mwa mtu ni siri yake hadi aliweke hadharani mwenyewe kwa matendo au maneno.
Alimuachia mama yako ujauzito, maana alikuwa malaya sanaHuyo alikuachia ujauzito. Hujajifungua tu bwashee?
Jisemee wewe na wezi wenzako wa maliasili za nchi hii.Hili lipo wazi japo CCM wamekuwa hawalisemi sana hadharani, lakini unaona marekebisho yanayofanyika na ndipo hapa ninapojivunia kuwa mtanzania, wote hatujakubali uhayawani wa yule mtu na tulifurahi sana Mungu alivyoamua kesi na bahari imetulia
Pengine hata sio ndani ya Tanzania tu, nchi jirani nyingi hazikuweza kufanya kazi na Magufuli, hata Kagame ambaye Magufuli alikuwa akijipendekeza kwake kwa fujo alipoingia madarakani alikuja kumuona huyu mtu hafai na hata mazishi yake hakuhudhuria wala hakutuma mtu
Nashukuru watanzania tunakubaliana kwenye hili...
Siyo kila mapenzi ya Mungu yanafurahisha binadamu hasa wahusika wa tukio.Sass
Sasa mapenzi ya Mungu tusiyafurahie? Tena hasa hayo mapenzi ya Mungu yakiwa yametuliza bahari?
Hata Nape amesema juzi juzi kuwa "mwenyezi Mungu ameamlia ugomvi"na tulifurahi sana Mungu alivyoamua kesi na bahari imetulia
Sasa amani imepatikana, CCM wamepatana wao kwa wao, waliobambikiziwa kesi wameachiwa, walionyimwa haki zao wamepewa, Wapinzani wanaridhiana na CCM, taifa limeeudi kwenye umoja.Siyo kila mapenzi ya Mungu yanafurahisha binadamu hasa wahusika wa tukio.
Yesu mwenyewe hakufurahia kifo chake kiasi kwamba akaomba ikiwezekana Mungu amuepushe na kikombe kile cha mateso na uchungu.
Ingawa mwishoni alimwambia Mungu mapenzi yake yatimie.
Wafuasi wa Magufuli tatizo lenu ni kudhani kila aliyekuwa hakubaliani na yule mtu kuwa ni mhalifuJisemee wewe na wezi wenzako wa maliasili za nchi hii.
Jisemee wewe pamoja na watumbuliwa wote wa vyeti fake serikalini.
Jisemee wewe na wenzio mliozowea kuishi kwa kuwapunja wananchi wa kipato cha chini.
Jisemee wewe na Wapinzani Tumbopolitics waliobaki kwa sasa.
Magufuli hachafuki na ukitaka kumchafua utachafuka wewe.
View attachment 2251041View attachment 2251042
Hii joint agreement inatisha sana😅😅Hili lipo wazi japo CCM wamekuwa hawalisemi sana hadharani, lakini unaona marekebisho yanayofanyika na ndipo hapa ninapojivunia kuwa mtanzania, wote hatujakubali uhayawani wa yule mtu na tulifurahi sana Mungu alivyoamua kesi na bahari imetulia
Pengine hata sio ndani ya Tanzania tu, nchi jirani nyingi hazikuweza kufanya kazi na Magufuli, hata Kagame ambaye Magufuli alikuwa akijipendekeza kwake kwa fujo alipoingia madarakani alikuja kumuona huyu mtu hafai na hata mazishi yake hakuhudhuria wala hakutuma mtu
Nashukuru watanzania tunakubaliana kwenye hili...
Kifo cha mtu mwovu ni faraja sanaWote na nani?
Mimi usinisemee sijafurahi.
Huenda wapi wengine wengi hawapo pamoja nawe kwenye hiki kimawazo.
Unafurahia vipi kifo cha mwenzio?
Kisiasa pia sipo pamoja nawe.
Jisemee nafsi yako usiwasemee nafsibza wengine. Lililopo rohoni mwa mtu ni siri yake hadi aliweke hadharani mwenyewe kwa matendo au maneno.
Magufuli alijichafua mwenyewe kwa matendo yake ya kishetaniJisemee wewe na wezi wenzako wa maliasili za nchi hii.
Jisemee wewe pamoja na watumbuliwa wote wa vyeti fake serikalini.
Jisemee wewe na wenzio mliozowea kuishi kwa kuwapunja wananchi wa kipato cha chini.
Jisemee wewe na Wapinzani Tumbopolitics waliobaki kwa sasa.
Magufuli hachafuki na ukitaka kumchafua utachafuka wewe.
View attachment 2251041View attachment 2251042
Asali tamu sana, nyie wafuasi wa chuki endeleeni kuumiaMagufuli alikuwa mzalendo wa kweli na aliwashughulikia nyote mliohujumu nchi. Ninafikiri tumuache apumzike, endeleeni kulamba asali.