Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
- #21
Kumbe ukiachana na kuchakata papuchi kwenye mpira pia huko na uelewa nao big up.Kumbe nawe umeona. Hili ni tatizo kubwa sana. Huwezi kuruhusu timu kuleta wachezaji wa kigeni 12 alafu utegemee kupata timu ya taifa nzuri...
Juzi nikasema niangalie mashindano ya under 20, ilikua game ya yanga sijui na timu gani nilivyowaona wale majibaba nikabadili channel haraka Sana, binafsi bongo youth program hatuko vizuri atleast azam wanakuja kuja.