Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
- Thread starter
-
- #21
Kumbe ukiachana na kuchakata papuchi kwenye mpira pia huko na uelewa nao big up.Kumbe nawe umeona. Hili ni tatizo kubwa sana. Huwezi kuruhusu timu kuleta wachezaji wa kigeni 12 alafu utegemee kupata timu ya taifa nzuri...
BONGO sijui tuna bahati mbaya niseme, hata hizi academy sioni impact yake kwa sanaPia tutambue kuwa hatujawaandaa. Tunawataka hao wa nje kwa sababu wameandaliwa. Wamepiga kwenye academy ndio maana wana misingi bora na tunawataka...
😂😂😂😂😂Wee mbususu tamu.Kumbe ukiachana na kuchakata papuchi kwenye mpira pia hum na uelewa nao big up.
Juzi nikasema niangalie mashindano ya under 20, ilikua game ya yanga sijui na timu gani nilivyowaona wale majibaba nikabadili channel haraka Sana, binafsi bongo youth program hatuko vizuri atleast azam wanakuja kuja.
Impact yake utazionaje wakati watu wanakutana wakati wa mashindano kaka? Pili age cheating ndio usiseme.BONGO sijui tuna bahati mbaya niseme, hata hizi academy sioni impact yake kwa sana
😂😂 bongo figisu nyingi Sana kaona hatotoboa hata hiyo top four kaamua kuingia sokoni, msimu uliopita aliponea nag ya 3,..hapa bongo usipowekeza kimataifa nadhani ni ngumu sana kutoboa😂😂😂😂😂Wee mbususu tamu.
Ah ye mashindnao ya u20 uhuni tuu...watu mijeba kabisa unaona.
Azam wanajitaidi sasa tunataka kuona more u20 wakiwa kwenye first timu. Ila msimu huu naona wameshusha wachezaji wa kigeni wengi
Mie hii stoey ya azam kutokufanikia sababu kuu ikiwa figisu sikubaliani nayo.😂😂 bongo figisu nyingi Sana kaona hatotoboa hata hiyo top four kaamua kuingia sokoni, msimu uliopita aliponea nag ya 3,..hapa bongo usipowekeza kimataifa nadhani ni ngumu sana kutoboa
sawa sawa mkuu.. Maamuzi ya kisiasa mengine yanatugharimuImpact yake utazionaje wakati watu wanakutana wakati wa mashindano kaka? Pili age cheating ndio usiseme.
Sie tuliharibu mambo pale wakati wa ndungai kufuta michezo mashuleni...tulirudi nyuma miaka 20 kwa ile decision.
Azam wamesaidia sana soka la bongo ila TFF kupitia bodi ya ligi inabidi wajipangeMuacheni Azam ... Serikali isingeweza kufanya anacho kifanya Azam
Sio baadhi yaoNO DOUBT, UBORA WA LIGI YETU PIA UMECHANGIWA NA WACHEZAJI WA NJE
Wazawa baadhi yao hawajitumi na kuonesha ushindani na ndio maana leo usishangae unaweza kupanga first XI kwenye kikosi cha Simba au Yanga ukakuta wazawa wanaingia wawili hadi watano lakini wanobakia wote ni wachezaji wa kigeni
Pale Rushwa ilitumika kubwa, maana ni kichaa pekee anaweza chukua ule Mkataba kwa haki za MatangazoMi naungana nawewe kwenye mkataba wa kinyonyaji wa Azam...TFF kupitia bodi ya ligi wangekua na channel yao inayorekodi mechi na kuwauzia Azam na makampuni mengine kama tunavyoona ...
Je wachezaji wetu wanajituma kiasi kwamba wanaweza pigania namba au weka bench wageni?Kumbe nawe umeona. Hili ni tatizo kubwa sana. Huwezi kuruhusu timu kuleta wachezaji wa kigeni 12 alafu utegemee kupata timu ya taifa nzuri.
Tunasema kuwa wachezaji wetu waza wajitume, lakini ukweli ni kwamba hatujawekeza pesa kuwaendeleaza. Wee angalia mashindano ya u20 wanacheza mijibaba mikubwa kabisa. Hii ni kutokana na sie kutokuwekeza kwenye youth developement.
Chukulia tuu kwa wastan timu kama singia wachezaji wakigeni 8 uwalipe wastan wa $2000 per month. Hiyo ni million tako kasoro. Wachezaji wanne maanayake ni $8000 per month. Je ukiwekeza hiyo kwenye vijana chini ya umri wa 14 huwezi kupata quality players baada ya miaka kadhaa?
Tusizuie kabisa wachezaji wa kigeni lakini tupunguze idadi iwe mwisho watano basi. Hela nyingine iwekezwe kwenye youth developement. Tukiwa na mipango ya muda mrefu tutapata mafa ikio lakini kwa style ya sasa tutegemee taifa stars kuendelea kuwa kichwa cha mwedawazimu
Wazawa wenyewe ndo kina Mkude, Ngasa, Yondan, Bocco, ?Nafikiri kutoza kodi kama mataifa mengine haiwezi kuwa muarobaini, kuwe tu na mpango mkakati juu ya kuvizishika na kuviibua vipaji vya wazawa plus wazawa wenyewe waache kubweteka.
Point kubwa sana hii lkn tisimsahau karia mafanikio yote haya yanapatikana ktk kipind chakeNO DOUBT, UBORA WA LIGI YETU PIA UMECHANGIWA NA WACHEZAJI WA NJE
Wazawa baadhi yao hawajitumi na kuonesha ushindani na ndio maana leo usishangae unaweza kupanga first XI kwenye kikosi cha Simba au Yanga ukakuta wazawa wanaingia wawili hadi watano lakini wanobakia wote ni wachezaji wa kigeni
Ligi ilianza ushindani enzi za MANJIshukran nyingi ziende kwa Mo Dewji na Simba sports club.
Naunga mkono hoja mkuu kuna namna ameufikisha mpira wetu sehemu fulaniPoint kubwa sana hii lkn tisimsahau karia mafanikio yote haya yanapatikana ktk kipind chake