Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Aug 5, 2022 #41 HIMARS said: Sio baadhi yao Wengi Huwa unaona magoli anayofungwa Manura? Click to expand... sawa, huwa nayaona mkuu
HIMARS said: Sio baadhi yao Wengi Huwa unaona magoli anayofungwa Manura? Click to expand... sawa, huwa nayaona mkuu
Complicator JF-Expert Member Joined Aug 23, 2013 Posts 2,198 Reaction score 3,580 Aug 5, 2022 #42 ubora wa ligi ni manara
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,197 Reaction score 4,525 Aug 5, 2022 #43 CARDLESS said: Ligi ilianza ushindani enzi za MANJI Click to expand... alichofanya Manji sio kipya walifanya pia kina Azim Dewji na Abbas Gulamali bado aikuvutia wadau kuweka fedha kipindi icho,ila Mo na Simba wamefanya tofauti sana mpaka kushawishi wadau kama Azam,sportspesa na wengineo kuweka fedha.
CARDLESS said: Ligi ilianza ushindani enzi za MANJI Click to expand... alichofanya Manji sio kipya walifanya pia kina Azim Dewji na Abbas Gulamali bado aikuvutia wadau kuweka fedha kipindi icho,ila Mo na Simba wamefanya tofauti sana mpaka kushawishi wadau kama Azam,sportspesa na wengineo kuweka fedha.