Nafurahi kuzaliwa mwanaume, sifanyi kazi yoyote nyumbani zaidi ya kula, kulala na kusoma

Nauhakika kwa hapo kwenu kuna wakati hizo huduma zitasimama.
Sasa kwa tahadhari hamia kwangu, huku hata hiyo kazi ya kunya hutaifanya maana ntakusaidia yawe yanatoka yenyewe tuu popote utakapokua.
 
Safi sana anata Siku ukipata mke sisi tutakusaidia kumuhudumia tu.
 
Yani mtoto wa kiume umelalia kochi unaropoka hivi?
 
Vile kila kazi wanakufanyia dada zako, hata kutoa.mba unawatoa.mba wao?


Usimaindi.
 
Hapo kwenye kula, kilala , ndio upaangalie sana maana sio sifa ya mwanaume hiyo,
 

HII NI HASARA KWA MAMA YAKO.... PUMBA.VU KABISA
 
Huenda keshawadinya anaona soo kusema
Sasa mkuu mwanaume ambaye hajishughulishi na kazi yeyote na hainteract na watu wengine tofauti na Dada zake unafikiri anajua hata kutongoza?? It's obvious kuwa anawadinya dada zake[emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…